ANAUPIGA MWINGI
JF-Expert Member
- Apr 14, 2022
- 389
- 753
Kuna mtonyaji wangu yuko karibu na jikoni yaani cm chache kutoka jikoni, nilikuwa nachonga naye Arusha hapa yuko kwenye Sekita ya Utalii Idara ya Ujasusi na alikuwa bega kwa bega kwenye uandaaji wa Filam ya Royol Tour, Ingawa Marekani hakuenda kwa sababu za kiafua, ingawa alikuwa aende pia.
Kaniambia Wafadhili wakubwa ni wafanya biashara wa Utalii Tanzania hasa Wazungu na pia Mwarabu wa Loliondo, kumbuka huyu Mwarabu aliletewa noma wakati wa Jiwe na kule anaonekana amafanya wizi sana hasa kutorosha wanyama hai, huyu Mwarabu ni rafiki pete na Kidore wa Makamu Mwenyekiti mpya wa Chama pendwa, na hata ile seke seke lake kwamba wana mteta jiwe sababu ilikuwa ni Jiwe kuanza kumbana Mwarabu wa Loliondo.
Kuna Mmiliki wa Singita Gurumet Game, Huyu ni tajiri mkubwa sana na ana eneo kubwa sana pembeni mwa hifadhi ya Serengeti na ana mpango wa kumegewa eneo zaidi, huyu ana miliki Ile Game Reserve kwa miaka 99, huyu ni mmoja ya wafadhili na hata pesa za kuandaa filam kafadhili na ikiaminika ndo alie changia kiwango kikubwa sana.
Mbali ya hawa Mwarabu wengine ni amechangia kama Mount Kilimanjaro Safari Club hawa ni Wafansa wana kampuni ya uwindaji na ya Utalii,
Wengine ni wakina Leopard Tours hawa wamechangia pia ila kwa kiasi kidogo sana.
Rostam Azizi naye anaaminika akichangia kiwango kikubwa sana cha Pesa za Safari ya Marekani, na pia nilitonywa Rostam anataka kuchimba Madini Hifadhi ya Serengeti kama mtakumbuka Mama aliwahi siku za mwanzo kabisa kugusia madini yalioko kwenye hifadhi za Taifa basi Rostam anaitaka hio kazi kufa na kupona hasa Serengeti.
Kwa Kifupi Makampuni ya Wazungu hasa ya Uwindaji ndo walifadhili pakubwa sana.
Pia inaaminika kuna Wachangiaji wengine ambao hawajatajwa ingawa wanaaminika wanatoka Marekani na asilimia kubwa wanataka Vitaru vya kuwinda na Mahoteli ya Kitalii.
Swali ni je wana upendo na Tanzania au kuna namna nyingine? Mimi sijui na hata mtonyaji hajui, ila swala la Rostam kutaka kuchimba madini kwenye hifadhi ya Serengeti hio imeisha tajwa tajwa.
Hao ndo Wazalendo walio fanikisha safari na Filam.