Local firms in Uganda and Tanzania will only play the support role in providing the transport and logistics services for the construction of the Hoima-Tanga pipeline, after oil giant TotalEnergies...
Nimeona mahala kwenye mitandao ya kijamii rais wa JMT anasema watu wasipambanae kisa tu eti yeye ni mama. Hapa nafikiri anataka kupindisha mambo. Kwanza nafikiri hakuna anayependa kupambana na...
Kwa wanaoelewa maana ya kifua,Halima kaonyesha ana kifua zaidi ya Wanaume wengi.
Na nimempenda kwasababu anajiepusha sana kuropokaropoka ambako nimetafsiri kama anawaheshimu Viongozi wake...
Awamu ya Tano haikuwa awamu ya Sayansi, Sheria na Demokrasia. Ilikuwa ni awamu ya mambo yaende yatake yasitake, utake usitake. Awamu ya Tano iliamini kuwa sayansi, sheria na demokrasia ni nyenzo...
HALIMA MDEE NA WENZAKE 18 WAFUKUZWA RASMI CHADEMA
Baraza Kuu la #CHADEMA limezitupilia mbali Rufaa za Halima Mdee na wenzake 18 wakipinga kufukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya chama hicho kwa...
WAKANDARASI WA MIFUKONI CHANZO MIRADI YA MAJI KUKWAMA - WAZIRI AWESO
Waziri wa Maji Jumaa aweso amewaagiza maafisa manunuzi na ugavi wa wizara hiyo kuacha kutoa kazi kwa wakandarasi wa mifukoni...
Mshirikishe Rais Samia to block any attempt by Tulia to accommodate Halima and colleagues to continue attending the Parliament.
Jibu utakalo lipata huko ndio utamwelewa Mama na mazungumzo...
Moja kwa moja kwenye point.
Huu msamiati wa 'Sukuma Gang' waanzilishi wake ni wapinzani. Lengo ni kuchochea makundi ndani ya CCM ili kuwagawa wanachama kwa lengo la kufanikisha malengo yao...
Wakuu nimetuliza sana akili na kufikiria kauli ya Mbowe kwamba alimwomba aachie ubunge kwa madai kwamba tayari alishamtafutia ajira ya kulipwa USD 15000 kwa mwezi. Kuna maswali kadhaa nimejiuliza...
Najua Waafrica wengi tumekuwa tukiamini sababu ya sisi kutokuendelea imesababishwa na wazungu
nimeona chapisho mtandaoni kuhusu maadhimisho ya kitabu cha How Europe underdeveloped Africa by Walter...
Mwanadada mpigania haki za binadamu na demokrasia nchini, amefika mbele ya kikozi kazi cha mheshimiwa rais kwa ajili ya kutoa maoni yake namna gani ya kupata tume huru ya uchaguzi, namna gani...
Uamuzi wa Dr. Tulia kuhusu covid-19 baada ya barua ya pili kufikishwa ofisini kwake itatoa taswira kamili ya mama SSH kuhusu demokrasia.
Mama kupitia kinywa chake amejipambanua kuwa ni mpenda...
Mtandao wa watetezi wa haki za binadamu nchini (THRDC) umemtunuku Tuzo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kutokana na mchango wake wa kulinda na kusimamia haki...
Ni lazima Msajili wa vyama vya siasa nchini aingilie Kati suala hili.
Hawa akina Halima Mdee na wenzake wamesubiri takribani miaka miwili Rufaa zao kusikilizwa hii si sawa kabisa.
Mambo kama...
Tembea uone mambo usingoje kuambiwa.
Hii nchi wengi wakipenda kusema ni ngumu, kwa kweli ni ngumu sana. Ama kwa hakika huenda hata sheria zinazotumika kunakoitwa mjini ni tofauti mno na za huko...
Waswahili wanasemaga kuwa BUBU UTAKA KUSEMA MAMBO YAKIMZIDIA.
watanzania sasa tumechoka kuwa wakimya kama kondooo.
Msikilizeni mama yetu akitoa yake ya moyoni juu ya Makamba na hali ya kipato...
SHAKA H SHAKA, KATIBU KATIBU WA ITIKADI AMEZUNGUMZA HOJA NZURI SANA.
Na Elius Ndabila
0768239284
Leo nikiwa nimekaa mahali ninapumzika lilinijia wazo moja. Wazo langu lilifanana Kwa kiasi na...
Kitendo cha Chadema kuwafukuza rasmi wanachama wao 19 kwa kuwafutia uanachama rasmi.
Sasa Mitandaoni habari kubwa inayotawala ni malumbano ya wana chadema wao kwa wao.
Hivyo kumpatia ahueni...
Serikali imetangaza viwango vipya vya chini vya mishahara kisekta ambavyo vinatofautiana kati ya sekta moja na nyingine ambavyo ni kuanzia Sh40,000 hadi Sh400,000 kwa mwezi kuanzia Julai Mosi...