Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema , amekuwa akikutana kwa mazungumzo na Rais wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan , ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM , chama ambacho kilifanya njama ya...
10 Reactions
80 Replies
5K Views
Spika Tulia amekemea tabia ya Madereva wa wabunge ya kuwasha magari pindi wawaonapo mabosi wao wakitoka ukumbini kabla hata hawajamaliza kusalimiana Spika Tulia amesema tabia hiyo inasababisha...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Haya ni maamuzi ya Mahakama Kuu mbele ya Jaji Mgetta kuwa 1. Maombi ya zuio la muda la kina Halima Mdee kuendelea kubaki na Ubunge wao hadi kesi yao itakapokubaliwa. 2. Kesi ya msingi...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Hapo awali Mara baada ya uhuru mpaka mwishoni mwa miaka ya 2000 , balozi wa nyumba kumi alikua na nafasi katika mfumo wa utawala. Alisaidia sana katika maswala ya ulinzi na usalama. Muda umefika...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Huwa natafakari Sana kuhusu thamani ya Watu wasio waadilifu, upanda ghafla na kushuka ghafla. Safari ya utajiri wa Rugemalila na Seth unifanya nijiulize haya yote twajilimbikizia ya Kazi Gani kama...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu Hassan yupo Mkoani Tabora kwa ajili ya kushiriki Ufunguzi wa Barabara ya Nyahua – Chany, leo Mei 17, 2022. Rais Samia ameanza kuongea ===== RAIS SAMIA SULUHU HASSAN Lengo...
5 Reactions
86 Replies
7K Views
Nimeona tamko la Mbowe kumtafutia mbunge mmoja ajira ya mshahara wa milioni 34. Hiki chama asilimia kubwa hawana ajira, wanaganga njaa, kwanini hawatafutii ajira hawa? Vijana wa chadema, hata...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Ditopile amesema Rais Samia ndani ya muda mfupi madarakani anazidi kuwaumbua wale wote waliombeza kuhusu uendelezaji wa miradi ya kimkakati Jiji la...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga Tsh. Trilioni moja kwa ajili ya mikopo kwa mabenki na taasisi za fedha kwa riba ya asilimia tatu ili mabenki na taasisi hizo zitoe mikopo kwa...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya kilimo kuwa ni moja ya sekta anazozipa kipaumbele zaidi katika kuiletea maendeleo Tanzania. Kwa kutambua umuhimu wa kilimo kwa uchumi wa nchi yetu na kuzingatia...
3 Reactions
6 Replies
720 Views
Mkurugenzi wa Chadema mh John Mrema amesema Halima Mdee na wenzake walifungua kesi ya kupinga kuvuliwa uanachama 12/05/2022 na wao Chadema waliopewa taarifa 16/05/2022 siku ya kesi Kumbe...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Mbunge anapopoteza sifa ya kuwa mbunge, whether kwa kufukuzwa uanachama au kwa sababu nyingine yoyote, hastahili kuendelea kuwa mbunge kwa siku moja zaidi. Na hali hiyo inaendelea hadi hapo...
76 Reactions
142 Replies
10K Views
CCM yampa ‘tano’ Samia kuongeza mishahara, kikokotoo Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka akiwa katika jengo la mtambo wa kuzalisha gesi kwenye hospitali ya rufaa ya mkoa wa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kampeni ya kummaliza kisiasa JK, Spika na wabunge kadhaa "wakorofi", imeanzishwa rasmi na Karamagi & Co. (Lowassa na Rostam) kupitia magazeti yao maalum ya AHSUBUHI NJEMA, TAZAMA, NYUNDO, TAIFA NA...
0 Reactions
139 Replies
19K Views
NA MWL BAKARI MADAYA 0628087968 Salaam Ndugu Watanzania wenzangu*! Naomba Leo nami niandike kidogo kuhusu watu wenye uwezo wa kusema lakini hawasemi. Ndiyo, ninaandika hapa katika Muktadha wa...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Mungu atusaidie, Huyu mpemba mwenzangu tumepigwa. Halieleweki analo ongea. Haeleweki anakokwenda. Anakotupeleka ndio giza gizaaaa. Bora mmanyema ameshafanya kazi benki ya dunia anajua uchumi wa...
4 Reactions
42 Replies
3K Views
Leo habari iliyo juu ni uamuzi wa spika Tulia Ackson wa kuwaruhusu Halima na wenzake kuendelea kuwa wabunge licha ya kutokuwa wanachama wa chama chochote cha siasa, jambo ambalo ni kinyume na...
19 Reactions
47 Replies
3K Views
Msafara wa Royal Tour ulibahatika kufika New York Marekani katika hoteli ya the Ritza Carlton. Gharama kwa chumba cha kawaida kama ukikaa kwa siku zaidi ya moja ni dola mia saba sawa na shilingi...
9 Reactions
130 Replies
14K Views
Moja ya tatizo kubwa linalotuchelewesha watanzania kupiga hatua ni kwamba; Watu waovu si tu kwamba wana ujasiri wa ajabu lakini pia wanachukua hatua wakati watu wema/wenye fikra nzuri n.k wana...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wana JF Nimejaribu kufuatilia kwa undani sana suala la shilingi ya Tanzania ukilinganisha na dollar pendwa ya Kimarekani ,kwanza tumsikilize huyu kiongozi kuhusu shilingi ya Unguja...
3 Reactions
52 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…