Mwanamuziki mkongwe wa bongo wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Afande Sele amemuomba spika wa Bunge, Tulia Ackson awaombe hospitali ya Mirembe iliyopo mjini Dodoma wapeleke usafiri bungeni na...
Dodoma. Serikali imeeleza kuwa fedha za mfuko wa majimbo zipo kwa ajili ya kuchochea maendeleo ya wananchi na sio za kununulia samani za ofisi za wabunge.
Kauli hiyo imetolewa leo Jumatatu Mei...
Zilongwa mbali zitendwa mbali
Kikosi kazi cha Prof Mkandalla na Zitto Kabwe ndio wapeleke mapendekezo ya vyama vidogo vidogo kwa Vyama vikuu or CCM ina Chadema ili yakajadiliwe kwenye meza kuu...
Leo, Waziri Ummy Mwalimu amesema Maduka yote ya dawa nje ya hospitali yanatakiwa kuwa umbali wa mita 500. Amesema Sheria hii aliipitisha yeye kabla sijaondoka Wizarani na kuongeza kuwa Maduka...
Chadema imependekeza kuundwa kwa Tume ya Ukweli na Upatanishi kushughulikia Watu walioumizwa.
Je Time iundwe na serikali au nani?
Watu walioumizwa na nani?
Nawasilisha
Kwanza naomba mnielewe ili ni swali tu nimeuliza, hivyo naomba mnieleweshe maana mi ufahamu wangu umekomea hapo,
Rais samia hii nimeona ni mara ya pili, mara ya kwanza alipofatwa kuhojiwa...
Monday, November 5, 2012
Manyara
WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli amemtaka Rais Jakaya Kikwete kuongeza safari za nje, kwa sababu zinazochochea maendeleo kwa kasi nchini.
Akizungumza kwenye...
Naomba nikiri wazi kuwa mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa ila ni mwananchi mwenye shauku ya kutaka kuiona nchi yangu inapiga hatua kubwa za kimaendeleo.
Kutokana na kwamba ili mpige...
1. Upatikanaji wa katiba mpya.
2. Tume huru ya uchaguzi,
3. Zuio la mikutano ya hadhara.
4. Makovu ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
5. Suala la wabunge 19 wa viti maalum.
6. Suala la ruzuku,
7...
Wakuu,
Muda huu M/Kiti wa CHADEMA na viongozi waandamizi 9 wa chama hicho wapo Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
Tutarajie jambo gani jipya? Ndo ukurasa mpya wa Siasa za Tanzania?
UPDATE:
Rais...
Huu ndio ukweli mchungu kwa wote waliowahi kuwa Maraisi wa nchi hii baada ya Mwalimu Nyerere kuondoka madarakani.Raisi Mstaafu Kikwete alikaribia sana kupata nafasi hii ya kihistoria ila...
WIZARA KUSHIRIKIANA NA SEKTA BINAFSI KUJENGA UCHUMI WA KIDIJITALI
Na Mwandishi Wetu, DODOMA
Waziri wa habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amefanya kikao na Wakandarasi...
Katibu mkuu wa CHADEMA mh John Mnyika amesema Halima Mdee na wenzake waliingizwa Bungeni na mfumo chini ya NEC na Bunge hivyo wanaweza kuondolewa ma Mfumo huo huo bila kuhusisha Mahakama
Chanzo...
Ni maadui watatu waliotajwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere tangu tunapata uhuru – ujinga, umaskini na maradhi. Hadi anazikwa kijijini kwake Butiama Oktoba, 1999, maadui wa Taifa walibaki ni...
Mweshmiwa wetu huyu, muwakilishi wa wananchi wa jimbo la Buchosa, elimu yake imekaaje?
Chuo cha Tumaini University ndio mna degree za namna hii? tena inaonesha alisoma 2017 mpaka 2020 huu...
CHONGOLO: BODABODA NA BAJAJI HAWAWEZI KUONDOLEWA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo Kwa upande wa zoezi linaloendelea la kuwapanga watu...
Na. M. M. Mwanakijiji
Mojawapo ya maajabu makubwa ni hili la watu kuamini kuwa ujio wa Katiba Mpya utawapa Rais ambaye ataweza kudhibitiwa na "taasisi". Kwamba, Katiba Mpya itazuia Rais kufanya...
Kila picha yeye utamwona anatabasamu flani hivi la.... Sisi watoto wa Mjini tunaelewa. Kuwa kwake mambo fresh...
Wenzie wote huwa wanaonesha wapo serious. Yeye anapataje nafasi ya kutabasamu nchi...
Hiyo ni principle. Mrema alikaribishwa NCCR Marando akamwachia kiti Mrema akang’ang’ania Marando akampindua, Mbatia akampindua Marando naye kuna hatihati ya kupinduliwa na kina Selasini.
Mrema...