Tume ya Ukweli na Upatanishi ya Chadema itaundwa na nani kushughulikia Watu walioumizwa na nani?

Itakuwa ni upumbavu na ujinga wa kiwango cha lami kupoteza pesa za walipa kodi kuunda tume ya kuwabembeleza wezi wa mali za umma, vyeti feki, wauza unga, wanasiasa vibaraka waliotuuza kwa acacia, watakatisha pesa haramu na mashoga waliozuiwa kufanya laana zao.

Ataekubali huu ujinga ni zaidi ya mpumbavu.
 
Mbona mnajitoa ufahamu mikataba yote iliyofanyika nchi hii lilifanyika na serikali yenu pendwa na mlikuwa mnapiga makofi leo mnajitoa ufahamu kwa ujinga niliofanya wenyewe kwa ulafi wenu mnawaita watu vibaraka wakati leo mnawafuata huko huko na Royal tour zenu
 
Chadema imependekeza kuundwa kwa Tume ya Ukweli na Upatanishi kushughulikia Watu walioumizwa.

Je Time iundwe na serikali au nani?

Watu walioumizwa na nani?

Nawasilisha

..itawasikiliza walioumizwa na vyombo vya dola.

..tume itaundwa na Raisi.

..pia itapendeza kama itaongozwa na Jaji wa mahakama ya Rufaa ambaye rekodi yake ktk masuala ya haki haina mawaa.
 
Itakuwa ni upumbavu na ujinga wa kiwango cha lami kupoteza pesa za walipa kodi kuunda tume ya kuwabembeleza wezi wa mali za umma, vyeti feki, wauza unga, wanasiasa vibaraka waliotuuza kwa acacia, watakatisha pesa haramu na mashoga waliozuiwa kufanya laana zao.

Ataekubali huu ujinga ni zaidi ya mpumbavu.
Povu la nini, kunywa maji ushushe jazba manka
 
Itakuwa ni upumbavu na ujinga wa kiwango cha lami kupoteza pesa za walipa kodi kuunda tume ya kuwabembeleza wezi wa mali za umma, vyeti feki, wauza unga, wanasiasa vibaraka waliotuuza kwa acacia, watakatisha pesa haramu na mashoga waliozuiwa kufanya laana zao.

Ataekubali huu ujinga ni zaidi ya mpumbavu.
Umetema nyongo yote. Pole sana
 
Kuna upumbavu uliozidi ule wa kununua wabunge na madiwani wa upinzani kwa kodi za umma, kisha kuitisha uchaguzi kujaza nafasi zao kwa hela ya walipa kodi ati kuunga mkono juhudi. Kwenda zako!
 
Chadema imependekeza kuundwa kwa Tume ya Ukweli na Upatanishi kushughulikia Watu walioumizwa.

Je Time iundwe na serikali au nani?

Watu walioumizwa na nani?

Nawasilisha

Upo kundi gani Kati ya Yale makundi matatu aliyotaja Mh Mnyika?. Inawezekana ukawa kundi lenye Nia mbaya.
 
Itakuwa ni upumbavu na ujinga wa kiwango cha lami kupoteza pesa za walipa kodi kuunda tume ya kuwabembeleza wezi wa mali za umma, vyeti feki, wauza unga, wanasiasa vibaraka waliotuuza kwa acacia, watakatisha pesa haramu na mashoga waliozuiwa kufanya laana zao.

Ataekubali huu ujinga ni zaidi ya mpumbavu.

Upo out of context kwa makusudi. Majadiliano ni baina ya CDM na Serikali. Maridhiano yatakuwa ya kisiasa sio Mambo ya jinai. Na hasa maraidhiano yanalenga kuanzisha serikali ya Umoja wa kitaifa kwa mazungumzo ya ndani kidogo.
 
Chadema imependekeza kuundwa kwa Tume ya Ukweli na Upatanishi kushughulikia Watu walioumizwa.

Je Time iundwe na serikali au nani?

Watu walioumizwa na nani?

Nawasilisha
Wafuasi wengi hasa wa ccm asilia wangependa hiyo tume iharakishwe wawajue waliokuwa wanatishia maisha na mali zao!
 
Itakuwa ni upumbavu na ujinga wa kiwango cha lami kupoteza pesa za walipa kodi kuunda tume ya kuwabembeleza wezi wa mali za umma, vyeti feki, wauza unga, wanasiasa vibaraka waliotuuza kwa acacia, watakatisha pesa haramu na mashoga waliozuiwa kufanya laana zao.

Ataekubali huu ujinga ni zaidi ya mpumbavu.
Happy je, umepata kitu leo??
 
Chadema imependekeza kuundwa kwa Tume ya Ukweli na Upatanishi kushughulikia Watu walioumizwa.

Je Time iundwe na serikali au nani?

Watu walioumizwa na nani?

Nawasilisha
Watu walioumizwa ni wengi nitawataja wacahache hapa;
Freeman Mbowe, Tundu Lissu, Mdude Chadema, MoDewji, Zakaria, Roma Mkatoliki

Halafu kuna waliouawa;
Ben Sanane, Azory Gwanda, Diwani wa Hananasif, Diwani wa Kilimbero, Akwilina, Mcomoro na wale wa kwenye viroba

Kuna waliowekwa ndani na kupewa mashataka feki:
Eric Kabendera, Tito Magoti, Gyan,

Kuna wafanyabiashara walionyang'anywa fedha zao kupitia TRA
 
Itakuwa ni upumbavu na ujinga wa kiwango cha lami kupoteza pesa za walipa kodi kuunda tume ya kuwabembeleza wezi wa mali za umma, vyeti feki, wauza unga, wanasiasa vibaraka waliotuuza kwa acacia, watakatisha pesa haramu na mashoga waliozuiwa kufanya laana zao.

Ataekubali huu ujinga ni zaidi ya mpumbavu.
Wewe happyxxx ni mnufaika wa utawala wa Mwendazake. Kuwa mpole huwezi kuzuia huu mchakato as long as Rais SSH amekwisha anza kuongea na CDM.

Kama wewe ni ndugu ya Paul Makonda au Sabaya au wale watu wasiojulikana basi siku zenu zinahesabika za uozo wenu kuanikwa wazi.
 
Upo out of context kwa makusudi. Majadiliano ni baina ya CDM na Serikali. Maridhiano yatakuwa ya kisiasa sio Mambo ya jinai. Na hasa maraidhiano yanalenga kuanzisha serikali ya Umoja wa kitaifa kwa mazungumzo ya ndani kidogo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Serikali ya umoja wa kitaifa 😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom