Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akiongea na Waandishi wa Habari leo baada ya Ofisi ya Msajili kutangaza kuunga mkono Mapinduzi haramu yaliyoongozwa na Joseph Selasini , Mh James Mbatia amesema kwamba hatambui Mapinduzi hayo ...
14 Reactions
55 Replies
4K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ameweka sawa kitu kilichosababisha taharuki juu ya uvumi wa taarifa zilizodaiwa kuwa eneo la Shule ya Sekondari Kurasini linauzwa kwa mwekezaji ambapo...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Shirika la Reli kwa kweli ambalo ni shirika mama kwenye sekta ya usafirishaji linatia aibu. Shirika lina MATITI kila kona, getini na ndani ya train lakini cha kushangaza uendeshaji wake...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa TCD ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na Ikulu Habari ziadi, soma=>Ikulu...
7 Reactions
107 Replies
22K Views
Naona kuna kundi kubwa limeandaliwa humu JF kupinga na kubeza Mazungumzo yanayoendelea baina ya Rais Samia na Mbowe. Kundi hili ndio lile Kundi lililokuwa linashabikia kuwa Mbowe ni gaidi. Baada...
25 Reactions
101 Replies
5K Views
Ni upumbavu ambao haukubaliki wala kuvumilika stend kuu kama hii ya Magufuli Mbezi louis kuendelea kukusanya mapato huku abiria wakitoa pesa zao kwaajiri ya huduma ya choo,Kisha wanaambiwa ni...
9 Reactions
53 Replies
3K Views
BONGO DAR ES SALAAM;AKILI KUMKICHWA UKILEMAA UMEACHWA FERRY,JE HAYA NDIO MAADILI YA MTANZANIA!? Leo 12:15hrs 24/05/2022 Uadilifu ni moja ya nguzo kuu ya kimaadili katika Utamaduni wa Mtanzania...
18 Reactions
41 Replies
6K Views
Wakuu, Tuliambiwa jamaa wa NSSF wakimaliza kukusanya pesa yao, tutapita darajani bila malipo! Mpaka sasa Miaka 6 inakaribia kuisha (lilizinduliwa 2016) hawa jamaa wanakusanya tu pesa. Inamaana...
14 Reactions
162 Replies
13K Views
Gazeti la the Citizen la leo limekuja na report inayoonyesha kuwa shirika la Ndege la Air Tanzania ndiyo shirika pekee lililoongeza idadi ya wateja na market share kwa mwaka 2021. Report hii ni...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Huwa nakerwa sana na mtindo wa wanasiasa kumpamba na kumsifia rais kwa maendeleo yanayofanywa na serikali. Kwa uelewa wangu, jambo lolote la kimaendeleo hufanywa na serikali Kwa wananchi kutumia...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi na Mbunge wa Vunjo, James Mbatia ametoa tuhuma kali kwa chama cha CHADEMA kwa kudai kuwa hawajui historia ya mageuzi nchini ndio maana wanadhani mwanachama wa...
19 Reactions
251 Replies
24K Views
Kulikuwa na kelele nyingi dhidi ya Serikali kuhusu kuonyesha vikao vya bunge live lakini baada ya ruhusa hiyo kutolewa hatuoni vyombo vya habari yaani TV na Redio wanaonyesha hayo matangazo...
0 Reactions
3 Replies
804 Views
Hii ni taarifa mbaya kwa "Haters" wa Rais Samia Nyani Ngabu, Nyankurungu2020, Mzee Mwanakijiji, Etwege, Idugunde, Suzy Elias, Beatrice Kamugisha
13 Reactions
51 Replies
4K Views
Unaweza ukamkejeli kadri unavyojisikia kwamba alikuwa mtesaji, alikuwa mkabila alikuwa mkatili. Unaweza ukamsimanga kadri ya uwezo wa akili yako utakavyokuwezesha, hataweza kukujibu amelala...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Sakata la Mkurugenzi Jiji la Arusha, Halmashauri inapaswa kuvunjwa Jana Mbunge wa Michongo wa Arusha mjini alisikika akilalamika mbele ya Waziri Mkuu kuhusu tuhuma kadhaa ambazo zinamkabili...
13 Reactions
48 Replies
4K Views
HOTUBA YA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA PROF. ADOLF FAUSTINE MKENDA (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2022/23 A. UTANGULIZI Mheshimiwa...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Sijawahi kusikia hata siku moja Katiba ikiombwa, Katiba hushinikizwa au kulazimishwa kama ukipenda na sababu ni moja wale wanaotaka Katiba mpya wana nia ya kuingia madarakani ambapo kwa Katiba...
1 Reactions
1 Replies
582 Views
Jana wakati waziri wa ujenzi na uchukuzi anahitimisha hoja zake kimsing iangetueleza mpango wa kujenga barabara kuunganisha wilaya zetu na mikoa kuliko kuelezea mradi wa SGR. Huu mradi ni wazi...
19 Reactions
100 Replies
6K Views
Mkutano ule wa Mei 20,2022 ,ni mwanzo wa mazungumzo ya timu mbili. Upande wetu CHADEMA tuliwasilisha ajenda mbili ya kwanza ni kurejeshwa kwa mchakato wa katiba ya nchi yetu na ya pili ni...
33 Reactions
132 Replies
8K Views
Mchungaji Gwajima hii barabara ni muhimu sana. Tumeshaisemea sana SISI WANANCHI WA jimbo la Kawe hasa tunaoishi huku Bunju. Asubuhi inakuwa kero sana kufika mjini ila sasa wizara ya Ujenzi...
4 Reactions
73 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…