Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Lengo la Serikali kufanya ugatuaji wa Madaraka lilikuwa bora sana na kila mtu analipongeza. Kwa sasa mambo yanavyokwenda SEKTA ya Afya ni kama kuna Wizara Mbili tofauti za Afya, yaani WIZARA MAMA...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Msemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo. Pia alipata sakramenti ya toba na mafuta matakatifu...
66 Reactions
362 Replies
39K Views
Kwa mjibu wa tume ya kupambana na rushwa (Takukuru) mkoani Arusha imetangaza kuwa halimashauri mkoani humo zinaongoza kwa rushwa nchini. Hili ni jambo la kusikitisha sana hasa ukizingatia kuwa...
8 Reactions
121 Replies
9K Views
Mama anakosea sana kuachana na kundi la wanyonge ambao ndiyo wengi na kuanza kukumbatia kundi la walichonacho ambao hawazidi hata milioni 3 nchi nzima. Wametangaza bei ya kuunganishiwa umeme...
30 Reactions
133 Replies
8K Views
Binadamu alivyoimbwa ni tofauti na wanyama wengi anaowatawala maishani mwake kila siku. Anao uwezo wa kuificha ile hulka yake ya ndani kabisa akacheka kwa bashasha na uchangamfu na usiweze hata...
7 Reactions
66 Replies
5K Views
Sababu ya kwanza ameitaja kuwa ni Baada ya Kushawishiwa na kuombwa na Viongozi wa Dini, Marafiki na Watu wake wa Karibu. Sababu ya Pili ameitaja kuwa ni Dhamira yake ya kuitumikia CCM mpaka...
37 Reactions
92 Replies
5K Views
Polisi wamepiga marufuku Wafuasi wa Chadema kuingia CCM Kirumba kuangalia mpira wa Simba na Yanga. Wameambiwa Wavue nguo zilizoandikwa KATIBA MPYA au Wasiingie Uwanjani Viongozi wa BAVICHA...
7 Reactions
67 Replies
6K Views
Katika kukabiliana na ukatili dhidi ya watoto mitandao Serikali imeunda kikosi kazi cha taifa cha ulinzi na usalama mitandaoni pamoja na kuifanyia marekebisho sheria ya mtoto ili iakisi mazingira...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kea sasa watetezi wakubwa wa akina Halima Mdee na wenzake ni wanaccm kutoka Kanda ya Ziwa. Bado sijaelewa ni kwanini!!!
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Chama hicho duniani kote
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Siasa za Tanganyika kuna wakati zinachekesha sana Hebu Soma hii Habari ya huyu Mwanasiasa alikuwa CCM akapata kuwa Waziri akatoka CCM na kujiunga na UPINZANI na kutoa Kauli hiyo kisha akatoka...
1 Reactions
6 Replies
721 Views
Murji kama David Silinde. Murji amekuwa Mbunge katika majimbo zaidi ya matatu tofauti ndani ya mkoa wa Mtwara. David Silinde naye amekuwa Mbunge wa Mbozi Mashariki,Momba na sasa Tunduma. Mbeya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Picha: Profesa Edward Hosea Profesa Edward Hosea ameibuka mshindi kuwa rais wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika( TLS) kwa kura 621 dhidi ya wagombea wenzake Harod Sungusia 380 huku Jeremia...
9 Reactions
72 Replies
6K Views
Kichwa cha habari kinajitosheleza. Mh mbunge Saashisha Mafue mbunge wa Jimbo la Hai. Kwa masikitiko makubwa CCM inakushanga na inashindwa kukupima nafsi yako na ubora wa kazi yako pale ambapo...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Ni ushauri tu ili kunogesha Maridhiano. Msamaha ni jambo jema Ili.kutibu majeraha ya Awamu ya 5 ni vema Chadema nao Wawasamehe Halima Mdee na wenzake Nccr amesema.nao wamsamehe Mbatia...
1 Reactions
34 Replies
1K Views
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imemsamehe na kumrudishia uanachama wa CCM aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Camilius Membe aliyekuwa amefukuzwa ndani ya chama hicho. Pia soma Abdulrahman...
13 Reactions
131 Replies
12K Views
1: Tozo elfu 50 toka elfu 2500 sasa hadi 5,500 2: kuunga umeme toka elfu 27 hadi 320,000 3: IST showroom 12.5 million hadi 18.5 million (alafu kuna vijana eti wanasubiria namba E [emoji23]...
28 Reactions
106 Replies
7K Views
Maake sasa hizi ni dharau, na mateso, vyama wa wafanyakazi vimeshindwa kujua kua ile pesa ndio tunaitegemeaga sana kuinua miradi mikubwa, Leo hii unipe 33% itanisaidia nini, mbn wabunge...
19 Reactions
42 Replies
4K Views
Ilianza kidogo kidogo baada ya uchaguzi. Lakini sasa imekuwa kero,kila kiongozi wa serikali hii hawezi kuishia kutaja majukumu tekelezi ya Serikali bila kurudia maneno "Serikali hii ya awamu ya...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, Chama kipya cha Siasa kinachoitwa Umoja Party, inasemekana ni chama kinachofuata, Uongozi wa Hayati Magufuli. Inasemekana Vigogo wengi wa CCM wapo nyuma ya hiki chama. Wafuasi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…