Nafikiri uchaguzi wa mwaka 2020 tume yetu ya uchaguzi ilishindwa kuwajibika katika kuhakikisha Nchi inapata wagombea sahihi kwa vyama vyote vya siasa.
Tume inawajibu wa kutoa elimu kwa wagombea...
CCM ya Nape ilikataliwa na wananchi wananchi walitengeneza uasi mkubwa ndani ya nchi yao walichukizwa sana na uonevu wa wa viongozi
Hali hii imejirudia watu wananyanyasika watu wanateseka...
Nape Moses Nnauye anamchukia Magufuli kwa sababu Magufuli alikuwa anamtaka Nape aishi maisha ya uhalisia aishi maisha ya kutokula rushwa atosheke na mshahara wake
Magufuli alijua kuwa Nape ni...
May 13, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan alikua mgeni katika maadhimisho ya miaka 10 ya kuanzishwa kwa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC). Katika mkutano huo alitunukiwa tuzo ya...
CCM ni Chama ambacho kina misingi na utaratibu wa namna kinavyojiendesha ndio maana utaona viongozi wanaachiana madaraka kwa taratibu hizo.
Utasikia mtu kapita kwa asilimia 100, bila kupingwa...
Rais Samia Suluhu amepongeza daraja kutumika kuonesha mpira kwani imelitambulisha duniani.
=======
Rais Samia: Natoa pongezi kwa wizara kwa kazi kubwa wanayoifanya, juzi niliona wako pale daraja...
Mwenyekiti wa chama cha Nccr Mageuzi James Mbatia leo ameitisha waandishi wa habari na kumuwakia vikali rais Samia kutokana na upandaji holela wa bei huku rais akiwa amekaa kimya bila kuingilia...
Halima Mdee akichangia katika bajeti ya Wizara ya Ardhi na Makazi, amesema haya
"Huwezi kuniambia tunakosa bilioni 10, ambayo nina uhakika Lukuvi kwa uzoefu wake kwenye akaunti yake ana bilioni...
Niende moja kwa moja kwenye hoja kwa mda sasa serikali imekuwa ikipeleka pesa za maendeleo ya miundombinu katika halmashauri zake mfano pesa za ujenzi wa vituo vya afya, pesa za ujenzi wa...
"Kwa kifua hicho kweli wewe Harmonize ni tembo" raia samia akiwa Arusha!
Kwa tamadamudi za dini ya haki ya kiisilam na pia mamlaka, haiba, mwonekano (ushungi) wa raia wetu ambaye pia ni mama wa...
Habari wakubwa,
Kwa kumbukumbu zangu kama sijakosea kuanzia awamu ya 5 na hii ya sasa tuliyonayo shughuli za kitaifa anazohudhuria Rais zinambatana na mabago 'banners' makubwa yenye picha ya Rais...
Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Mhandisi Cyprian John Luhemeja ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO)
Aidha...
Mahubiri ya Askofu John Ndimbo (Kingenzu) katika Misa ya Christmas amesisitiza kuwa bila kutenda haki hakuna Amani.Amesema haki ya watu kuchagua viongozi wao,haki ya kuishi pia amesieistiza...
Serikali yetu makini hivi karibuni imetangaza nafasi za ajira lukuki kwa vijana waliohitimu Mafunzo ya mifugo sehemu mbalimbali.
LITA kama Taasisi ya Serikali yenye ithibati ya kutoa mafunzo hayo...
(i) 1 barrel = 159 litres
(ii) Tanzania average daily petrol/ diesel consumption per day is 18,000 barrels.
(iii) The CIF price in April 2022 was TZS 2,100/ per litre as we've been told by the...
Kwanza nishukuru Serikali kwa kuongeza mzunguko wa pesa mikoa mbalimbali kwa kuwakopesha wanafunzi pesa za chakula na malazi kwenye vyuo vilivyoko nchi nzima.
Pesa hizo wakizipata watazitumia...
Kwa sasa siasa za CCM zimeghubikwa na makundi makubwa ambapo kundi la serikali ya awamu ya sita hasa vijana wake wanaoamini CCM ni ya kwao akiwemo NAPE MOSSES NNAUYE wanaweza kuligawa taifa kwa...
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe, leo amekabidhiwa kadi ya CCM na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho Shaka Hamdu Shaka, makabidhiano hayo yamefanyika Chiponda mkoani...
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Mwaka mmja wa Rais SSH madarakani,wakala wa barabarani za Vijijini na Mijini Tarura imeendelea kuleta mageuzi makubwa ya barabara za Vijijini na Mijini kwa kufungua...
SHAKA AWASHA RASMI MTAMBO WA KUSAMBAZA MAJI PAMOJA NA KUSHIRIKI UJENZI WA SHULE MAALUM YA SEKONDARI YA WASICHANA .
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka...