Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwenye awamu ya nne elimu ilivurundwa sana hadi wahitimu wa form four kupangiwa chuo kikuu tena na kupewa mkopo kwa kisingizio cha kuandaa waalimu huku vigogo wakiwapangia jamaa zao ambao hata...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
NA MWANDISHI WETU Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka ameziagiza mamlaka husika kuhakikisha mradi wa maji wa Nandete uliopo wilayani Nanyumbu...
0 Reactions
3 Replies
618 Views
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu Januari 3, 2021 jijini Dodoma, Job Ndugai amesema katika hotuba yake aliyoitoa hivi karibuni hakukuwa na jambo la kukashifu wala kudharau juhudi za...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
======= Rais Samia akipokea Kombe Ndungu Waalikwa mabibi na mabwana, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Kazi iendelee, Leo tunafurahi, sana na tunasherehekea kuliona kombe la Dunia, ambalo...
7 Reactions
155 Replies
10K Views
Leo Mhe Rais amemteua Mhe Humphrey Polepole kwenda kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi. Ikumbukwe kuwa Mhe Polepole Kwa siku za hivi karibuni alikuwa mkosoaji mkubwa wa serikali ya awamu ya...
12 Reactions
70 Replies
8K Views
Leo ikiwa ni mwaka mmoja umepita tangu Rais wa awamu ya tano Hayati John Pombe Magufuli afariki, nimekaa chini muda fulani nikatafakari siku hii ya kumbukizi ya kifo chake, Kuna somo nimelichukua...
29 Reactions
38 Replies
3K Views
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Ugonjwa huo bado upo Tanzania na Wagonjwa wanashuhudiwa Hospitali. Kutokana na hali hiyo, kuna tishio la kupata Wimbi la Tano la Maambukizi Akizindua Mpango...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Mbunge Shabiby wakati akichangia hoja kwenye mjadala wa wizara ya nishati amemchana waziri January Makamba kuwa ni mpya kwenye wizara hiyo hivyo hajui chochote namna wapiga dili wanavyochezea...
6 Reactions
69 Replies
7K Views
Pole na majukumu Hongera kwa kuitwa kwenye kikosi kazi cha katiba na maridhiano. Bahati nzuri wewe ni mtoto wa mkulima na unatambua katiba iliyopo inatesa na kufukarisha wakulima Kila siku kwa...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amewataka wakuu wa mikoa kote nchini wenye wakulima wa korosho kuacha urasimu na kuharakisha usambazaji na ugawaji wa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wananchi mbalimbali wanaotaka katiba mpya wameshtushwa na ubaridi wa ghafla wa chama cha Demokrasia na maendeleo (ChADEMA) katika kudai katiba mpya. Watu hao wanasema walikuwa na tumaini kubwa...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Wanabodi, mtu wenu mwanampotevu na mkaa kimya nimerudi. Wasalaam! Nimefanya utafiti na ufuatiliaji wa kwa nini nchi za Afrika kama Tanzania tumekwama katika dimbwi LA umasikini huku kila...
17 Reactions
49 Replies
3K Views
Wakuu Kwema? Mimi kwa kiasi fulani ni mdau wa mafuta, kwani hapo kabla miaka ya nyuma nilishawahi kufanya kazi katika kampuni ya mafuta Kwa kama miaka kadhaa Hivi Hivi karibuni Mbunge wa Gairo...
76 Reactions
161 Replies
51K Views
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati akipokea tuzo ya Babacar Ndiaye kutokana na mafanikio kwenye ujenzi wa barabara na kusema anayepaswa kupewa sifa ya tuzo hiyo ni mtangulizi...
27 Reactions
124 Replies
9K Views
Shahidi wa 6 katika kesi ya Uhujumu Uchumi, Utakatishaji fedha haramu na kumiliki Genge la Uhalifu inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya {35} na...
19 Reactions
97 Replies
14K Views
Mhe.Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) akipokea tuzo aliyozawadiwa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan na Pan African Women Organization (PAWO) kwa kutambua...
0 Reactions
1 Replies
816 Views
Rais wa Senegal ameelekea Moscow kukutana na Rais Putin.ili amshawishi aendelee kuachilia nafaka na mbolea zije Afrika. Kwa kiasi kikubwa bara la Afrika linategemea Nafaka na mbolea kutoka...
1 Reactions
9 Replies
799 Views
Wadau naomba kutoa maoni yangu juu ya jinsi nchi inavyokwenda. Wakati tukiendelea kutafakari namna ya kupata Katiba Mpya ya wananchi, vp mnaonaje kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 vyama vyote...
1 Reactions
13 Replies
822 Views
Wapo watu kwa Ujinga walio nao au kupotoshwa na watu wehu wamekuwa wakitoa tafsiri potofu juu ya maana ya Uzalendo. Ukiwasikiliza wanasema Magufuli alikuwa mzalendo wanataja sababu kuwa amejenga...
27 Reactions
63 Replies
4K Views
Hebu tuwe realistic kidogo, kuna usemi ambao wote tumeukuta, Chema chajiuza kibaya chajitembeza. Sio siri kuwa sasa hivi nguvu kubwa inatumika kumsifu Rais Samia hata akikohoa tuu. Tatizo liko...
13 Reactions
78 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…