Wengi hawajawahi kufanya kazi popote ni mwendo wa SURNAMES CONNECTIONS kisha wanasoma tu majina yao kwenye mikeka
Wanaotembea kwenye chaki ni kundi la wanaFURSA kutoka UVICHICHIEM,
Kumbuka
Kuna...
Rais Samia jikite kufungua na kuanzisha miradi, jikite kupambana na mfumuko wa bei, jikite kuhamasisha viwanda .
Viwanda ndiyo vitanunua mazao ya wakulima ,viwanda ndiyo vitazalisha ajira nyingi...
Makundi yanayo muunga mkono Rais Samia Suluhu yana-reflect kwamba mama anaupiga mwingi kwa kazi anazofanya ndani na nje ya Tanzania.
Makundi hayo ni:
-Vyama vya Siasa vinaumuunga mkono ✅...
Wasaalam wanabodi, Mimi Ni mdau wa maendeleo, linapokuja suala la maendeleo huwa nafurahi na kumpongeza hadharani kiongozi mleta maendeleo bila kuangalia katoka chama tawala au upinzani
Naomba...
Katika hali isiyo ya kawaida, jana imeshuhudiwa mheshimiwa rais akiwa mgeni rasmi kwenye birthday ya ndugu mr 2 au sugu au 2proud au Jongwe.
Hii imeibua maswali lukuki hasa ikichukuliwa na muda...
👇
Haiwezekani watu wana kesi ndogo ndogo wako ndani halafu wenye kesi ya uhujumu uchumi unakaa nao tu (Waziri wa Nishati), huwezi kutofautisha suala la kusababishia hasara serikali katika suala la...
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Sikumbuki kama Chadema mlirudisha shs 38 milioni mlizochangiwa na hayati Magufuli kwani viongozi wenu walishinda Rufaa na kurejeshewa faini zote mlizolipa...
Kutokana na mazingira ya kisiasa iliyopo sasa kwa vyama shindani ni wazi kabisa vimekosa weledi na uwezo wa kuleta mawazo mbadala katika nchi.
Hapo awali tulishuhudia wanachama na viongozi wa...
Tusifananishe KIKOSI KAZI na Tume za Kijaji za Nyalali, Kisanga na Warioba.
Kikosi kazi hakikuundwa na Rais. Kimeundwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa baada ya AZIMIO la kikao cha Baraza...
Asalam!
Moja kwa moja kwenye mada
Jana nilipata bahati ya kuhudhuria kwenye ziara ya Mh waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Bw Kassimu Majariwa
Ziara hiyo ilifanyika Jiji la Miamba...
Sasa hivi ni rushwa na pesa yako ndio itakufanya usiende gerezani.
Dpp na mahakama ndio imekuwa kitovu cha kuachia wenye pesa hata kama wanamakosa.
Hayati JPM alidhibiti kabisa hii hali ya...
Jana tuliambiwa hukumu ya kesi iliahirishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi, Arusha.
kwa kile kilichodaiwa kuwa hakimu alikuwa anatimiza majukumu mengine ya kiofisi,mahali ambapo hatukutajiwa...
Kuna mambo ndani ya hii nchi yanavyokwenda ni bora utafute genge lako ili upambanie maisha ya wananchi ila hilo genge lisiwe na Chama chochote kile maana kwa jinsi vyama vya upinzani wanavyoanza...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameongoza Ufunguzi wa Maenesho Madogo ya Zana na Teknolojia ya Kijeshi ya India (India Mini Defence Expo)...
Kwa mwaka wa Fedha 2022/23, Waziri wa Utalii, Dkt. Pindi Chana ameomba Bunge kuidhinishia Wizara hiyo Bajeti ya Tsh. 624,142,732,000 ambapo Bilioni 443.7 zimeelekezwa katika Miradi ya Maendeleo na...
Balozi wa utalii nchini Tanzania Nangasu werema, amesifia.
Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii 2022/2023 ilisomwa na Waziri mwenye dhamana Balozi Dkt Pindi Hazara Chana Leo Bungeni...
CCM tuna utaratibu wetu wa kumuombea mtu msamaha kisha mkosaji anaenda mbele ya kadamnasi na kutamka maneno machache tu, NI SAMEHE MIMI NIMEKOSA NISAMEHE MIMI NIMEKOSA.
Maneno haya huja baada ya...
Tangu tulipomaliza mwaka wa uchaguzi na kuingia mwanzo wa miaka mingine mitano CCM imejikita kwenye kampeni ya Urais 2025! Lugha iliyoko CCM hivi sasa ni Urais 2025!
Hii inamaana kwa miaka...
"Natoa Wito Kwa Wanawake Wenzangu,wanaume ambao Hawajafanya Tohara Kushirikiana Nae Ni hatari, Hawafai Kabisa Kwa Matumizi ya Binadamu.
Usitoe Huduma Ukikutana Na Mwanamme Ambaye Hajatahiriwa Kwa...