Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Afrika ni bara vulnerable sana linapokuja suala la rasilimali zake. Sababu ni kutokana na viongozi wasiokuwa na uadirifu na kutokuwa na uzarendo. Leo nimekutana na waraka wa serikali...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
1 :Enyi kizazi cha UVIKO mbona mnaufurahia ujinga WA mwenye hekima na kuzishangaa hekima za mjinga? 2:Tangu Leo jueni kwamba kuendelea kumuamini mwenye hekima hata katika maneno ya kupotosha, ni...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Hatuna awamu ya sita msidanganye wananchi nyie wanasiasa uchwara, tuna wabunge na madiwani wote zao la awamu ya tano isipokuwa tu tuna Rais aliyerithi kiti cha baada ya Katiba ya Jamhuri ya...
6 Reactions
50 Replies
3K Views
Biwe Vijana wa CHADEMA Nawaita kwa heshima na muone mwenyekiti wenu kasema nini. Hayo maagizo mmepewa kuanzia leo hataki mihemko mara maandamano mara mmefanya vurugu. Mwenyekiti kaliweka wazi...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Sasa hivi imekuwa kila neno ni maridhiano. Maridhiano gani mnayodai kuwa eti ni kwa ajili ya haki na usalama wa nchi wakati sasa inaonekana mnafumbia macho ufisadi kwa kisingizio cha maridhiano...
9 Reactions
53 Replies
3K Views
Tumeona wanyama wakubwa wakubwa wakihamishwa kutoka sehemu mbalimbali na kupelekwa huko Burigi. Pori la Burigi lipo ngara ambayo imepakana na Rwanda. Kama tunavyojua, Rwanda ina wanyama wachache...
26 Reactions
115 Replies
17K Views
Wakubwa zangu habari ya majukumu? Leo katika kuangalia Channel yetu ya kizalendo Tanzania Safari Channel kuna documentary inaelezewa ya wanafunzi wa Chuo cha Mwika ambao wamepelekwa kwenda...
15 Reactions
124 Replies
11K Views
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na jitihada za waziwazi za kui-discredit Chadema machoni na mioyoni mwa Watanzania. Kwamba sababu kuu ya jitihada hizo ni ukweli kuwa Chadema sasa ni tishio halisi kwa...
13 Reactions
40 Replies
4K Views
Huyu RC binafsi anaukonga moyo wangu kwa namna anavyodhibiti mapato na matumizi ya fedha za Umma, Mkoani kwake. Hebu Msikilize mpaka mwisho hapa.
6 Reactions
20 Replies
2K Views
WAZIRI NAPE ATOA MAELEKEZO KWA TCRA, MAKAMPUNI YA SIMU Na Mwandishi wetu, DODOMA Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye ametoa maelekezo kwa Mamlaka ya...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Bila kupoteza muda. Ni hivi ukiangalia Baraza lote la Mawaziri la sasa mwanasiasa pekee mwenye ushawishi na mwenye traits za kuwa Rais ni January Makamba. He seems to be well...
17 Reactions
245 Replies
13K Views
Eti wandugu, chama cha mapinduzi wana uhalali wa kumiliki viwanja vya sabasaba?
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kazi kubwa ya Kikosi Kazi cha Rais ni kupata maoni kuhusu kudorora kwa Hali ya Demokrasia nchini lkn yenyewe imejikita zaidi kwenye upatikanaji wa Katiba Mpya. Baada ya Kikosi Kazi kupendekeza...
6 Reactions
101 Replies
7K Views
Katibu mkuu wizara ya Nishati ndg. Felchesmi Mramba amesema bwawa la Julius Nyerere halitakamilika hivi karibuni kama ilivyoaminishwa na baadhi ya wanasiasa. Amesema bwawa hilo ni kubwa sana...
11 Reactions
175 Replies
13K Views
NImepitia nyuzi zote 23 na comment zaidi ya 3,600 naomba niseme ndugu zangu wa Kanda ya Ziwa ndoto ya kutoa Rais imekufa, hivyo tuendelee kumuunga mkono mama. 2) Kama mama ameeleweka vema lengo...
13 Reactions
114 Replies
8K Views
Wadau mnamkumbuka Mh. Samson Mwigamba amabaye alikuwa Katibu wa Chadema mkoa wa Arusha, Akaenda Act- Wazalendo. Baadaye akahamia CCM. Huyu jamaa alikuwa Bwana migogoro kwenye vyama. Kwa miaka ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi wanapiga marufuku wanafanya biashara ya usafirishaji abiria kufanya kazi masaa ishirini na nne lakini wao wapo kazini masaa ishirini na nne wanamlinda nani?Kwanini tumekariri...
3 Reactions
5 Replies
796 Views
Sijui Tanzania tunaogopa nin kuruhusu uraia Pacha, Watanzania wengi huko ughaibuni wanataman kuwekeza Nchini kwao wengine wana vipaji vya mpira, Music, Riadha n.k wanataman wachezee kwenye nchi...
5 Reactions
51 Replies
3K Views
Akihojiwa na mtangazaji Zuhura Yunus wa BBC, waziri Kabudi amesema Tanzania kuna uhuru wa kutosha wa vyombo vya habari. Alipoulizwa kuhusu kupotea kwa mwandishi Azory, Prof Kabudi amesema...
14 Reactions
296 Replies
38K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…