Samsoni Mwigamba Yuko wapi?

Nsema

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
272
466
Wadau mnamkumbuka Mh. Samson Mwigamba amabaye alikuwa Katibu wa Chadema mkoa wa Arusha, Akaenda Act- Wazalendo. Baadaye akahamia CCM. Huyu jamaa alikuwa Bwana migogoro kwenye vyama. Kwa miaka ya karibuni huyu nguli kapoa sana.

Sijui Yuko wapi? na anajishughulisha na nini!

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Alikua mlamba makalio wa jiwe,akaanza kuandika makala kwny magazeti then sijui alipotelea wapi.
 
Back
Top Bottom