Kuhamishia wanyama huko Burigi: Neema kwa Rwanda

Kuhamishia wanyama huko Burigi: Neema kwa Rwanda

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
16,966
Reaction score
62,881
Tumeona wanyama wakubwa wakubwa wakihamishwa kutoka sehemu mbalimbali na kupelekwa huko Burigi.

Pori la Burigi lipo ngara ambayo imepakana na Rwanda.

Kama tunavyojua, Rwanda ina wanyama wachache sana kulinganisha na Tanzania, kwa hiyo move hii ya Tanzania inaweza kusaidia Rwanda sasa kupata Wanyama na kukuza utalii.

Kama mnavyojua, Wanyama hawajui mipaka ya Kisiasa kwa hiyo msishangae wakaamua kuishi popote, Tanzania hata Rwanda, huwezi kuwazuia.

Binafsi naona kwa move hii ya kuhamishia Wanyama huko Ngara ni bonge la Neema kwa Kagame.

Mimi nilifikiri kwanza kabla ya kupeleka wanyama mapori mengine basi tuboreshe kwanza vyanzo vya utalii wa wanyama tulivyokuwa navyo, tuboreshe huduma za mahoteli, tujenge viwanja bora n.k

Lakini hii ya kuhamishia wanyama Ngara, tunaenda kuwasaidia Wanyarwanda nao kupata chanzo cha utalii kwa gharama ya wanyama wetu, Je tumejiandaa kwa ushindani?
 
Unafikiri awajui kwa nini wanafanya hivyo kifupi wanajua wanafanya nn na kwa nn wanafanya hivyo ilikuwa ngumu kipindi hiki kuchukua wanyama kwa ndege kupeleka Rwanda ndio maana wakaona watumie njia hiyo ili uendelee kuamini kuwa hii ni serikali makini kuliko zote duniani lkn CCM ni ile ile
 
Wakati mkuu anajenga uwanja wa ndege Chato walimtukana na kumwona mjinga. Sasa leo umuhimu wa huo uwanja unaanza kuonekana, pia hii itakuza uchumi sio kwa Kagame pekee bali wilaya za Chato, muleba, Biharamulo, Bukoba, Ngara, Karagwe. Ni move nzuri inatakiwa kuanza sasa.
 
Mkuu naamini wanyama wanaopelekwa si kiboko kwani twiga hawawezi kuogelea mto akagera kwenda Rwanda unless wakatize kwenye daraja Rusumo Sema issue ni majangiri maana tu nchi tule huwa tuna tubwana tunatumia silaha sana . Naamini tutafaidi kutokana na Rwanda kuwa inapata watalii wengi sana japo wanaishia kuona Ma nyani tu kule . Tumwache Rais afanye kazi yake maana naona capacity yake ya ku think iko beyond kizazi chetu hiki kinachobeza kila lifanywalo
 
Mkuu naamini wanyama wanaopelekwa si kiboko kwani twiga hawawezi kuogelea mto akagera kwenda Rwanda unless wakatize kwenye daraja Rusumo Sema issue ni majangiri maana tu nchi tule huwa tuna tubwana tunatumia silaha sana . Naamini tutafaidi kutokana na Rwanda kuwa inapata watalii wengi sana japo wanaishia kuona Ma nyani tu kule . Tumwache Rais afanye kazi yake maana naona capacity yake ya ku think iko beyond kizazi chetu hiki kinachobeza kila lifanmfo kagera umatenganisha Tanzania na Rwandan?
 
Wakati mkuu anajenga uwanja wa ndege Chato walimtukana na kumwona mjinga. Sasa leo umuhimu wa huo uwanja unaanza kuonekana, pia hii itakuza uchumi sio kwa Kagame pekee bali wilaya za Chato, muleba, Biharamulo, Bukoba, Ngara, Karagwe. Ni move nzuri inatakiwa kuanza sasa.
Mkuu askofu shoo ametoka kuonya na kutuasa juzi ya kwamba watanzania ongeeni ukweli ili kusaidia taasisi zetu za dini (misikiti na makanisa ) serikali na watu ,hulka ya kujikaza kuongea uongo kwa kushabikia tu mrengo fulani ni sumu mbaya sana ,wewe sio mkuu wa mkoa ,wilaya wala mtumishi wa umma mwenye cheo ,na hata ungekuwa hapa una fake ID ,Mkuu unashindwa kusema ukweli sebuleni sawa unamuogopa baba,na chooni unaongea tena uongo bosi wangu?

Hivi kuna umuhimu gani wa kujenga uwanja wa ndege chato kisa kufufua mbuga kwa kuhamishia wanyama ,hivi mbuga zenye wanyama wengi na kubwa kama katavi ,kigoma (gombe na mahale) zina uwanja wa bil 39 kama huo wa katavi mbuga ambazo mungu kaziweka kwa mikono yake hamjazitumia hata robo ,mnaanza kutengeneza mbuga ya lazima mahali ambapo wanyama hawajapachagua ? wanyama hujichagulia wenyewe kwa kuishi ndo maana serengeti ina kila kitu lakini hakuna soko mtu wako zao kigoma,simba wa ruaha na manyara wako tofauti kitabia wa ruaha wapole na wazito ,wa manyara wanapanda hadi miti ina maana asili iliwachagulia hivyo kwa zaidi ya miaka 400,kama unabisha hamishia chura wa kihansi mto ruvuma wanakufa siku hiyo hiyo .chui wa serengeti wanajua wapi pa kupata riziki na hata huwezi ona chui amepotea kaenda makazi ya watu ,sasa leo unamtupa chato lazima ale sana wanakijiji maana hajui swala wanajificha wapi hata wewe unajua kutafuta pesa mji uliopo ukihamishiwa nairobi bila mtaji utaanza na kukaba watu ,je wanyama wanafanyaje?
Mh Magufuli haoni nyerere hakufanya hivyo butiama.mwinyi hakufanya hivyo,kikwete hakulazimisha jambo bagamoyo ,mkapa hakujenga maflyover mtwara ,mh ni raisi mzuri na mimi personally nampenda sio kinafiki maana hapa ni fake ID hata nikimtukana hatojua ,ila yes nampenda ,lakini kwenye chato anakosea miji huwa inastawi yenyewe kwa neem zake hakuna mji wa kulazimishwa na wanadamu ,hakuna siku dodoma itaikuta dar wala hakuna mkazi wa dar anaetaka kwenda dodoma itahama serikali sio watu ukitaka uiue arusha ,sitisha uchimbaji madini na utalii kaskazini ndani ya miaka mitano chato na arusha mjini zitakuwa sawa kimapato
 
Mto kagera wanavukaje mfano twiga kwenda Rwanda?
1126108
 
Mkuu naamini wanyama wanaopelekwa si kiboko kwani twiga hawawezi kuogelea mto akagera kwenda Rwanda unless wakatize kwenye daraja Rusumo Sema issue ni majangiri maana tu nchi tule huwa tuna tubwana tunatumia silaha sana . Naamini tutafaidi kutokana na Rwanda kuwa inapata watalii wengi sana japo wanaishia kuona Ma nyani tu kule . Tumwache Rais afanye kazi yake maana naona capacity yake ya ku think iko beyond kizazi chetu hiki kinachobeza kila lifanywalo

kutokea usawa wa Biharamulo kwenda Rulenge kisha kuingia Rwanda hakuna mto Kagera kuna vijito vidogo ambavyo Wanyama wanapita kiulaini tu
 
kutokea usawa wa Biharamulo kwenda Rulenge kisha kuingia Rwanda hakuna mto Kagera kuna vijito vidogo ambavyo Wanyama wanapita kiulaini tu

Na mto Mara aliyewaleta pale wanyama ni nani? Kenya ndio inafaidika.
Halafu nani kasema kujenga mahoteli ni kazi ya serikali?
Unajua Kigoma ina national parks mbili? Is there a problem to develop western tourism circuit?
Hizi ni fursa. Ila kila kitu ni siasa. Kwani Ngara sio Tanzania?
 
🎵🎶🎼 iddi amiini akifaa
🎷🎺🎹🎹 mimi siwezi kuliaa
🎸🎷🎻🎻🎺 nitamtuupa kageraa
📯📯📯 awe chakula cha mambaa....

walisikika wanafunzi wakiimba mchakamchaka
 
Hapa kaushauziwa kagame. Hivi ni kwanini nafavour rwanda sana. Au ndyo kwao?
 
Back
Top Bottom