Bernard Membe atangulia kumuunga mkono Samia 2025

Bernard Membe atangulia kumuunga mkono Samia 2025

Monica Mgeni

Member
Joined
Oct 7, 2021
Posts
82
Reaction score
134
LLLKKK.JPG
 
Sasa hilo halipingiki japo Mungu naye hupanga ya kwake. Yani unashangaa tu shilingi imegeuka ndani ya siku moja na anaingia ikulu mtu usiye mdhania. Ila kwa sasa hata mimi nipo na Membe. Huo ndio msimamo wangu
 
Hahahaha mzee wa kuingia dakika ya 89 na kufunga goli alafu akaishia kufanya kampeni kwenye kijiji cha Rondo.

Licha ya Membe kuwa waziri kwa miaka 15 hakuna legacy yoyote aliyowaachia watanzania
 
Hahahaha mzee wa kuingia dakika ya 89 na kufunga goli alafu akaishia kufanya kampeni kwenye kijiji cha Rondo
Hahaha ila mkuu unadhani yule jamaa yenu wa hapo zilankende angeruhusu hilo?
 
Duru zinasema hakuna UCHAGUZI 2025!! HALAFU wanamuunga mkono mama mapema hivi!!??uchuro huo!!kuna jambo linapikwa huyu Membe sio wa kubezwa!!
Mnakumbuka alimtisha jpm ndani ya CHAMA nini kilimpata!!?
Jpm ali RIP NGOJA TUONE!! YEYE na kikwete wanajua wanalofanya!!
 
Hapo mawazo yake ni UPM au umakamu.

Na kwakua wote ni timu msoga basi hakuna litaloharibika.

Ni kutuvuruga tu mpaka tukome.
 
Ndioooooo mama tena apende asipende tutamuongezea mda w kukaa IKULU
 

Hungry Lion Never Sleep ​

Baadaye Anapewa Cheo Safi ​

 
Sasa hilo halipingiki japo Mungu naye hupanga ya kwake. Yani unashangaa tu shilingi imegeuka ndani ya siku moja na anaingia ikulu mtu usiye mdhania. Ila kwa sasa hata mimi nipo na Membe. Huo ndio msimamo wangu

Nakazia ​

 
Membe yupo sahihi kabisa sasa Rais kama huyu mnyenyekevu asiye na makuu unampinga ili iweje?
Nchi ya majuha hii
Tunahitaji unyenyekevu au maendeleo? Leo kila sehemu watu wanalia maisha magumu, we unasema habari za unyenyekevu.
Africa ni kama tuna laana
 
Kwani kuna hisia zozote ndani ya chama za kutaka kumtenga? Mbona anasema dunia itatushangaa na je ye membe anaweza kukazimisha mioyo ya wana ccm kumkubali mtu wasiyemkubali? Dunia anaisingizia tu. Yawezekana hata yeye hamkubali samia isipokuwa yale maslahi yake yaliyopokwa kwa sasa yamerudi.

Nani asiyejua alipoingia magu hotel yake ya naf beach kule mtwara ilifungwa na tra kwa kutowahi kulipa kodi.? Amesahau kuwa alikata sana mikoko pamoja na uchafuzi mwingine wa mazingira ya bahari pale naf beach na mara zote nemc walipopiga kelele waliwatuliza.?

Kwa sasa aseme tu mambo yao ya hovyo hovyo yamerudi. kuna watu bila uhovyo hovyo hawawezi kusurvive. Mmojawapo ni membe
 
Membe yupo sahihi kabisa sasa Rais kama huyu mnyenyekevu asiye na makuu unampinga ili iweje?
Unampinga kwa sababu yupo kwenye chama ambacho kinapingwa, ahame chama kama alivyowahi kuhama Membe ili tuone watu wakimchague ya yeye na si kuona akitegemea nguvu ya ccm chama dola hata wakiweka jiwe lazima tutaona jiwe hilo likitangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais.
 
Kwani 2025 Samia atagombea na nani?

Maana machadema yote yanaramba asali na yataungana na ccm kumpitisha mama kwa kishindo ili kumkomoa marehemu.
 
Safi sana Mzee wa Rondo, Chiponda, Mtauna, Mnara, Ngara. Muunge mkono amekomesha utekaji, mauwaji kubambikia kesi kudhurumiwa biashara.

Sasa hivi tunaishi Kwa amani kabisa
Watu bado wanapotea na kufa....
 
Back
Top Bottom