RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,615
- 3,909
Hatuna awamu ya sita msidanganye wananchi nyie wanasiasa uchwara, tuna wabunge na madiwani wote zao la awamu ya tano isipokuwa tu tuna Rais aliyerithi kiti cha baada ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano kutafsiriwa na kuona kwamba iwapo aliyekuwepo anaweza patwa na mauti au kwa magonjwa yoyote yale na kushindwa kutimiza majukumu yake kama Raisi basi makamu wake atashika kiti cha Urais.
Hatuna Rais aliyechaguliwa na wananchi tunaye aliyerithi kiti. Na ukitaka kujuwa kuwa hakuchaguliwa ingawa picha yake ilikuwepo kwenye uchaguzi mkuu, jiulize je Philip Mpango amechaguliwa na wananchi kuwa Makamu wa Rais? Sisi tunachojuwa tunaongozwa na aliyerithi kiti cha Rais kwa njia ya katiba basiiiii.