MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,697
- 7,883
Hivi ile tume ya uchunguzi imetumia bilion ngapi za walipa kodi kwa kipindi cha miezi 5.
Iweje kuna mambo wameshindwa kuchunguza?
Kwa mfano wanaposema matundu yaliyokutwa kwenye miili ya marehemu ni ya vitu vyenye ncha kali kujua hilo wamewapa nafasi wengine kuchunguza?š¤£š¤£