Kumtaka Rais kutoka CCM aingilie swala la wizi na uporaji wa mali za wananchi uliofanywa na CCM, chama ambacho hakioni aibu kumiliki mali hizo, ni ndoto za Alnacha.
Rais ni zao la chama hicho na...
[emoji419] NI YUPI ADUI NAMBA MOJA WA JAMII YA KIMASAI
Moja kati ya mbinu za kivita zilizowahi kuyapa ushindi mataifa mengi wakati wa vita, hapa nazungumzia vita 1 na ya 2 mathalan ni kumjua...
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Dkt. Selemani Jafo amewataka Watanzania kuthamini bidhaa zinazotengenezwa nchini na wazawa ili kuwapa moyo wabunifu na kuinua uchumi wa...
Mpaka Sasa ukiweka mpambano Kati ya Samia ambaye ameongoza kwa muda wa mwaka mmoja tuu na Bwana yule miaka mitano Samia anaonekana kufanya vizuri zaidi tena anamzidi kwa mbaali sanaa.
Japo Samia...
Huyu Kassim Majaliwa huwa anaongea lolote linalokuja mdomoni. Amekuwa mwongo mwongo sana. Akiwa Bungeni Dodoma bila aibu, anadanganya watanzania kuwa Ngorongoro ni shwari na wale Wamasai walikuwa...
Clip ya Dak 2:47 akiwa Oslo Forum anasimulia namna "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe" namna kilivyo piga bomu ofisi yake ya UWAKILI na kumjeruhi Tundu Lissu kwa risasi 16.
Hatimaye Kinyago...
Section of tropical forest at Gombe Island in Tanzania, the home of world famous Chimpanzees of Tanzania. The Tanzania Forest Services (TFS) reports indigenous plants that make tropical forests...
Hili sio jambo la ajabu, sasa hivi kuna watu wanapisha SGR, kuna watu wanahamishwa kupisha upanuzi wa barabara, ujenzi wa sekondari, vyuo vikuu, stendi ya magufuli watu waliipisha, stendi ya...
Kwanza kabisa ninakubaliana na watanzania walio wengi wanao amini nchi yetu kwa namna mambo yanavyoenda kuna shida kubwa sana za kimfumo na kiutendaji, Hasa ukiangalia mambo yanavyoenda katika...
Kwa wale wenyeji wa Mkoa wa Mara watakuwa wanajua kijiji kinaitwa Robanda kiko kati kati ya Fort Ikoma na Serengeti National Park.
Kile kijiji hakiko ndani ya Hifadhi make sheria za TANAPA ni...
Mbunge Hussein Bashe amefunguka na kumpinga Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas kuhusu kauli yake aliyotoa kwenye mtandao wake wa Twitter kuhusu mitandao ya kijamii kuchangia kuhatarisha...
Kuna video moja fupi inazunguka mitandaoni anaonekana mbunge wa baraza la wawakilishi akiwaongelea kwa dharau samaki wa Ziwa Victoria. Anasema wao kwa maana ya watu wa visiwani hawana utamaduni wa...
Nimemuelewa Nape Moses Nnauye.
Nilivyomuelewa mimi silazimishi mwingine kumuelewa. Kila mtu abaki na uelewa wake.
Katika clip inayotembea mitandaoni, NAPE NNAUYE amenukuliwa akisema yafuatayo...
James Mbatia, mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, aliteuliwa kuwa mbunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Hiki ni chombo kikubwa cha nchi na kwa hadhi yake ya uenyekiti...
Huyu waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Bungeni nimemsikia akisema kuwa habari zinazoenezwa mtandaoni kuhusu Loliondo hazina ukweli
na hakuna askari yoyopte aliyeenda mbugani na silaha kutishia...
Wakati tukisoma miaka ya nyuma kikao chenye mamlaka ya kufukuzwa wanafunzi ni Bodi ya Shule siyo Mkuu wa Shule na walimu wake.
Lakini Kuna baadhi ya wakuu wa Shule na walimu wamekuwa na tabia ya...
Loliondo ilivyowatia simanzi Wabunge
Imeandikwa na Shadrack Sagati; Tarehe: 7th December 2009 @ 07:16
Habari Leo
BINADAMU tumetofautiana kwa hulka na silika, wakati wananchi wa Loliondo...
Leo bungeni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekanusha tetesi za mapigano zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamiikwa kusema “Tulipokuwa tunapitisha magari kuelekea msituni, viongozi wa kijiji cha...
Freeman Mbowe, kada mtiifu wa CCM aliyepewa uenyekiti Chadema.
Igwe wana JF,
Japo wengi hawaelewi hadi siku yawatokee wao kuna haja ya kuweka kumbukumbu sawa. Wengi wanamjua Freeman Mbowe kama...