Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,259
James Mbatia, mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, aliteuliwa kuwa mbunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Hiki ni chombo kikubwa cha nchi na kwa hadhi yake ya uenyekiti ilimuongezea hadhi na heshima zaidi kuingia katika chombo cha nchi.
Maajabu nimeyaona mwaka huu mwenyekiti wa kitaifa wa chama cha upinzani tena chenye mbunge na madiwani na yeye mwenyewe akiwa amegombea urais , akiteuliwa kuwa mkuu wa Mkoa. Yaani hii kwa lugha yoyote ni demotion na unaweza kusema ni dharau na hata mteuliwa anapokubali anakuwa amekubali hali hiyo eidha ni kwasababu ya njaa, tamaa au kutokujua. Kutolewa kwenye ajenda za kitaifa na kupelekwa kwenye ajenda ya mkoa ni total demotion hasa pale unapolazimika kuhama hata chama chako pia kwasababu ya cheo. Yaani hapa mtu anasaliti imani na msimamo wake
Uteuzi huu unaonesha kuwa hata mshauri mkuu wa chama amepewa hadhi kubwa kwa kuteuliwa kuwa PS kwani hiyo ni nafasi ya nchi nzima halafu mwenyekiti wa chama anateuliwa kuwa mkuu wa mkoa! Hiyo unaweza kusena ni unyanyasaji kisiasa. Mtu mmoja aliwahi kusema "Not all who are chained are slaves, but all those who have accepted the chains" Hata mzee wa nji hii hapa yupo juu kwani amepewa uparole lakini bado ni mwenyekiti anaongoza chama chake hata kama ni dhaifu kuliko ACT. She had failed to think critically!