Wanabodi JF!,
Nawasalimia popote pale mlipo!
Naomba niende kwenye Mada hii kuhusu NGORONGORO CONSERVATION AREA AUTHORITY.(NCAA).
Nimefuatilia mijadala mbalimbali ambayo imekuwa ikiendelea kwenye...
Wanabodi,
Hii ni thread ya swali kuhusu watu wanaoitwa watetezi wa kweli wa haki za binaadamu Tanzania, ni kina nani? (human right defenders). Haki za binaadamu ni jambo la kikatiba na kisheria...
Magufuli apeleka Sh1bn Loliondo
Neville Meena na Mussa Juma,
Samunge; WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli, jana aliingia katika Kijijini Samunge kwa mchungaji Ambilikile Masapila na kupata...
Nilikuwa nasikiliza press ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ambapo kati ya mambo mengi akizungumzia suala la Lolindo na kusema kauli ya Waziri Mkuu ilikuwa sahihi.
Sasa baada ya taarifa...
Salaam Wakuu,
Kuna Uhusiano gani wa rais Samia kutembelea Uarabuni na Operation ya kuweka Mipaka Loliondo? Miezi mitatu baada ya Samia kwenda Uarabuni, mipaka imeanza kuwekwa Loliondo. Pia...
Mheshimiwa Job Ndugai, umekuwa ukihaha sana kwa siku za hivi karibuni kikosoa serikali kwa Mambo menngi. Kimsingi serikali sio Mungu na huwa inakosea sana. Japo pia makosa mengi ya serikali zetu...
Kwanza alionekana kuingia Bungeni ukiwa umechelewa na kukaa nyuma ya waziri mkuu.
Wakati huo yeye Waziri mkuu akiwa amesimama akitoa taarifa serikali Bungeni,juuya hali halisi ya kilichokuwa...
Wakati Magufuli akiwa Rais kwenye tukio kama la utilianaji saini wa mradi wa LNG tungeona wabunge, mawaziri, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nk.
Tungesikia nguvu ya ushindi ya Watanzania...
Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi, Nape Moses Nnauye akihojiwa na Mwananchi amependekeza kwamba Rais Samia Suluhu Hassan aendelee kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mpaka 2030...
Nasimamia upande wa Wamasai, kamwe SERIKALI ya CCM haijawahi kuwa agenda njema kwa nchi hii..
Tulia Akson anataka watafutwe waliorekodi tukio la kinyama la Loliondo, sasa asipate shida. Hawa hapa...
Nchi hii ni ngumu sana kwakweli ! Hivi leo hii ndio CCM na serikali yake dhalimu iliyopo madarakani kwa kupora uchaguzi wa 2020 ndio watuingize kwenye mjadala ngorongoro na hatima ya wamasai...
Wazee Wa Dar Es Salaam Ni Akina Nani? Je, Sifa Za Mzee wa Dar es Salaam Ni Zipi?
Ndugu zangu,
Leo Rais wa Jamhuri, Samia Suluhu Hassan ataongea na Wazee wa Dar es Salaam.
Kwenye juzuu ya...
Rais Samia akifungua Msikiti wa Jami'ul Istiqaama, Bukoba Mkoani Kagera, leo Ijumaa Juni 10, 2022
Shukrani za kipekee kupitia kwako Muwakilishi wa Balozi wa Oman, ziende kwa Sultan wa Oman na...
OFISI YA WASEMAJI WA KISEKTA
TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI: KUHUSU SERIKALI KUINGIZA ARDHI YA VIJIJI 14 LOLIONDO, WILAYANI NGORONGORO, KWENYE HIFADHI
JUNE 12, 2022
Utangulizi:
Ndugu...
Ndivyo hali ilivyo, hata mama wa kambo akilea watoto ambao sio wake haoni taabu hata kuchukua nguo zao na kuzigawa, ila hawezi fanya hivyo kwa watoto wake.
Mwisho wa siku hata hii ngorongoro...
Nchi yetu ni nchi masikini, kutokana na hali hiyo ni muhimu kila senti inayopatikana ikatumika vizuri.
Leo hii nchi yetu ina viongozi wakubwa wafuatao
1. Rais
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4...
Ni mwendelezo wa mahaba ya wanachadema kwa uungwana na urahimu wa CCM.
Meya Boniphace katika ukurasa wake wa twitter ameonekana "kukunwa" na uungwana wa Wana CCM baada ya kupewa hifadhi wakati...
Inawezakana mkuu wa majeshi akapiga salute kwa mkuu wa wilaya au mkoa akiwa kwenye gar yenye bendera ya tanzania?? kuna ubishi hapa kijiweni juu ya swali tajwa hapo juu,msaada plz..
Ndugu zao wamemwaga damu kwa ajili ya ardhi yao ambayo wamekaa kizazi na kizazi. Mbona hatuajawahi kushuhudia haya mambo?
Ilianzia kanda ya Ziwa na sasa imefika kanda ya kaskazini.Mwaka 2025 ni...