Kipenda roho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 488
- 940
Nchi hii ni ngumu sana kwakweli ! Hivi leo hii ndio CCM na serikali yake dhalimu iliyopo madarakani kwa kupora uchaguzi wa 2020 ndio watuingize kwenye mjadala ngorongoro na hatima ya wamasai?
Hivi huyu Waziri Mkuu anakuwaje muongo kiasi hiki eti Ngorongo na Loliondo kuko shwari ilihali tunaambiwa askari kachomwa mshale na amekufa?
Hivi kweli viongozi wa nchi kweli hawajifunzi nchi za jirani kama Rwanda Burundi na DRC walivyo tumbukia machafukoni kuotokana na kupuuzia malalamiko ya wananchi na uporaji wa ardhi na rasilimali ?
Hivi kweli tuamini royo tuwa ni kwa ajili ya kuitangaza nchi na sio kuiweka nchi sokoni tayari kwa mnada ? Hivi kweli haya mambo ya kuuza wanyama hai nje ndio uendelezani wa utalii nchini [emoji15] ?
Wamasai wamekaa huko ngorongoro na loliondo kwa dahari ya miaka leo ndio mmseme sijui nini nini !!! Nature has it that who survive fits ! This country has so many national parks and game reserves what is the big deal with Ngorongoro warranting evacuation of a tribe ?
Huko mnawapeleka handeni likija lizungu fulani likagundua madini si ndio mtawatoa tena ? The country has completely lost focus imebaki upigaji mkubwa ! Eti kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake ! Shame !!! Rais wa nchi anatamka hivi bila haya !!! We are doomed !
Hatima ya wamasai ni kuwa watangataji milele ! Selikali ya CCM imeawaamulia ! Ngorongoro inapigwa bei kwa mwarabu.
Tujadili