Kuna wanaosema Mbowe ndo awe mgombea Kwakuwa Lissu aligombea wakati uliopita Ila wakumbuke
Mbowe aligombea 2005. Hata hivyo Tundu Lissu bado relevance yake ipo na anao mvuto ambao ni wa kipekee...
Najua vyema kuwa nchi mbili ziliungana kuunda jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Zanzibar na Tanganyika.
Zanzibar ni nchi huru ikiwa na "simple" mandate lakini kwa Tanganyika imevaa koti la...
UDADISI: Rethinking in Action: TUACHIENI NYERERE WETU
MMETUPORA KILA KILICHO CHETU, TUACHIENI NYERERE WETU
Na Mwl. Sabatho Nyamsenda
Wanyonge walia, waporaji washerehekea
Siku ya leo nchi...
Kwa mara ya kwanza sasa naanza kuona Wananchi wanajielewa, wengi kabisa wamepinga na kuidharau Sikukuu iliyotangazwa na BAKWATA
Mara zote waislam wamekuwa wanadanganywa n.a. BAKWATA, Leo...
Naandika haya nikiamini utayasoma kwakuwa wewe ni mmoja wa wanajukwaa JF
Sasa hivi nchini kuna makampuni mengi yanayoagiza mali zilizokwisha tumika toka nje.
Ni jambo zuri sana kwani...
Wenzetu zanzabar wamefanikiwa kubadili katiba yao, wamefanikiwa kuondoa vifungu ambavyo vipo kwenye katiba ya muungano ambavyo hawavipendi lakini hakuna mtu au watu wanaopigania Tanganyika kwenye...
Kwa heshima ujengwe mnara mkubwa wa makumbusho ya kumbukumbu ya kuwa kumbuka kila mwaka wahanga wetu wote. Walioteswa Waliopotezwa ama kuuwawa na CCM kabla na baada ya mauwaji ya uchaguzi wa...
Human Rights Watch imesema kuwa vikosi vya usalama vya Tanzania vilikandamiza maandamano wakati na baada ya uchaguzi mkuu wenye utata wa mwaka 2025, viliua na kujeruhi watu ambao hawakuwa...
Sasa ni rasmi uhuru wa habari na uandishi wa habari zenye tija umefika tamati. Tajiri na kada maarufu wa CCM, ambaye ni mfuasi wa siasa za mrengo wa kushoto, amelinunua gazeti la Mwananchi. Hapa...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ambaye Ndiye Mfariji wa Taifa letu na aliyebeba Matumaini ya watanzania, Amesikitishwa sana Kufuatia kifo...
Afrika nzima mwezi umeonekana Alhamis and therefore Idd ni Friday.
Kumbe alitaka "mama" awe mgeni rasmi, na " mama" akasema Friday hana nafasi, basi aka declare Mwezi haujaonekana.
Wakuu,
Hivi karibuni nimeona watu wanalalamika kwamba tovuti ya Bunge inafuta CV za wabunge makusudi ili tusijue level zao za elimu.
Sasa kabla hawajafuta, ni vyema tujue nani ni nani. Mule...
Hamjambo wote!
1. Mara zote maadili huharibiwa na viongozi, wazazi na wakubwa.
2. Viongozi na wazazi au wakubwa wakiwa na maadili automatically watoto, wadogo na waliochini watakuwa na maadili...
Wakuu
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ghana, Samuel Okudzeto Ablakwa, ameazimia katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wakati wa mkutano wa CELAC uliofanyika Bogotá Machi 22, 2026 la kutambua biashara...
FIDELIS Mutakyamilwa bado ana uchungu wa kuona mama yake akifariki kwa kuwa alikosa huduma ya gari la wagonjwa wa dharura kumfikisha hospitali.
Mama mzazi wa kijana huyo mwenye umri wa miaka 43...
Amani iwe nanyi wanabodi!
Kupitia Northen Corridor Kenya anataka kuingia DRC, Rwanda, Uganda na Sudan Kusini kwa Reli ya SGR.
Sisi Tanzania tunajenga SGR yetu kuingia Burundi na baadae Congo...