Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukiangalia mataifa mengine utaona kwamba yamepiga hatua kubwa mno kimaendeleo kutokana na matumizi sahihi ya Rasilimali zao. Botswana na Nchi ya Falme za Kiarabu (UAE) especially Dubai au hata...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Juzi wakati wa Usomaji BAJETI ya NCHI Waziri wa Fedha alidai SERIKALI inatarajia KUBANA MATUMIZI ili KUOKOA Fedha za Umma ziende kwa Wananchi wenye SHIDA. Siku hiyo hiyo anayesema hayo Yeye...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Kiukweli wakati ile nchi jirani zote zilitulia kwa sababu Kidume cha nyakati zile hakikuuma maneno. Nyekundu aliita nyekundu na vifaranga aliita hivyo hivyo Sabato njema!
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kuwa bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani. Rais anasema juzi alikuwa Marekani...
17 Reactions
432 Replies
29K Views
Mwonekano wa maendeleo ya ujenzi wa meli ya MV Mwanza: Hapa Kazi Tu mkoani Mwanza. Ujenzi wake unagharimu TZS bilioni 89 (fedha za ndani), itakuwa na uwezo wa kubeba abiria 1200 na mizigo tani...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Diwani wa Kata ya Bomambuzi Manispaa ya Moshi Raibu Juma akiongea na Redio Moshi Fm kupitia kipindi cha Darasa mseto ameweka wazi kutoa Dollar 5000 ikiwa atapata video inayoeleza kutetea wapenzi...
0 Reactions
3 Replies
836 Views
"Kila mtanzania mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 na mwenye kipato anatakiwa kulipa kodi. Ili kutimiza amza hiyo, Serikali inakusudia kutoa namba ya utambulisho wa mlipakodi (TIN) kwa kila...
3 Reactions
167 Replies
13K Views
Wapo madiwani wa CCM 9 na mwenyekiti wa CCM wa wilaya, mbona mko kimya.
1 Reactions
3 Replies
758 Views
Habari! Hii siijui niitaje kwa lugha ya kawaida isiyoumiza. Ila facts zitabaki kuwa facts. Tembo , twigs, digidigi , paa n.k wamepewa thamani halisi. Ukiwagonga kwa bahati mbaya utalipishwa kwa...
1 Reactions
1 Replies
919 Views
Wamaasai kutoka maeneo mbalimbali wamefanya maandamano ya amani hadi ubalozi wa Kenya Tanzania, uliopo Oysterbay jijini Dar es Salaam leo juni 17, 2022 kuiomba serikali ya Kenya iingilie kati...
9 Reactions
36 Replies
5K Views
Polepole ni muumini mwenzangu wa kutokuvaa barakoa. Amenifurahisha kutunza msimamo wake mbele ya wenyeji wake wote waliovaa barakoa. Safi sana!!
5 Reactions
54 Replies
5K Views
Hili ni pigo kubwa Sana kwenye uchumi wetu,inasemekana wanaharakati wa mazingira ndiyo wamekua kikwazo Cha huu mladi kufanyika eti kisa utasababisha watu kuhamishwa kwenye makazi yao ya asili na...
1 Reactions
85 Replies
7K Views
Binadamu tunapenda mno kulalamika, haswa sisi tunaojulikana kama raia wa nchi ya Tanzania. Huwa hatuna dogo hata siku moja ni mwendo wa malalamiko. Zipo video zinazozunguka mitandaoni...
2 Reactions
4 Replies
786 Views
Waziri wa Maliasili na Utalii mh Pindi a.mewapokea Wamasai mjini Handeni na kuiambia Dunia kiss Wamasai wa Ngorongoro ni lazima wahame tena Wanahama kwa hiyari Source ITV habari
1 Reactions
4 Replies
783 Views
Tulitegemea wataalamu wa Uchumi na Fedha wa Chadema wawe wameichambua Bajeti ya serikali iliyosomwa juzi na Waziri Mwigullu Ikumbukwe Chadema ndio chama kikuu cha upinzani Hongeremi ACT...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Ninajiuliza huyu mbunge atapigiwa kura na nani huko Ngorongoro baada ta wapiga kura wake kuhamishiwa Handeni? Sijasikia familia ya huyo Mbunge imehamishiwa Handeni kutoka Ngorongoro. Pili...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Mhe. Dkt Pindi Chana akiwakaribisha wananchi waliohama kwa Hiari kupisha shughuli za uhifadhi katika Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro. Leo Juni 16, 2022 Kaya...
8 Reactions
35 Replies
4K Views
Serikali imefanikiwa kweli kuhamisha wamasai kutoka eneo lao la asili walilo zaliwa na kupelekwa maeneo mapya bila ya wao kupenda. Ni wahakikishie kwamba kuhamisha Watanzania kupisha wawekezaji...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Kwenye Hifadhi za Taifa, ukiachana na Zoo, huwa kuna vibao vimeandikwa Dont feed birds or animal. Kwamba usiwalishe ndege na wanyama wengine na ni kosa kubwa sana ndani ya hifadhi kuwatupia hata...
15 Reactions
64 Replies
5K Views
Video ya Mapokezi ya Rais . Samia huko Oman . Itakuwa ni ziara ya siku tatu
12 Reactions
163 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…