SOVIET UNION
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 455
- 1,283
Serikali imefanikiwa kweli kuhamisha wamasai kutoka eneo lao la asili walilo zaliwa na kupelekwa maeneo mapya bila ya wao kupenda.
Ni wahakikishie kwamba kuhamisha Watanzania kupisha wawekezaji hakutaishia Ngorongoro pekeee na kwa sasa bench mark itakuwa ni Ngorongoro, kwamba kule ilifanikiwa hivyo hata kwingine itafanikiwa tu.
Bahati mbaya Watanzania wengi wanaona hili linasahusu Wamasai pekeee lakini ukweli ni kwamba Ngorongoro ndo eneo la field la kuwahamisha Watanzania wengine maeneo mengine kupisha wawekezaji.
Kama tunazania hili swala linaishia kwa wamasai pekee tunajidanganya sana na tusubili siku Wazazi wetu au babu zetu wanaambiwa hameni hapa kupisha wawekezaji ndo tupataka alili.Staili itakayo tumika ni hio hio ya Ngorongoro ya kuhamusha Kijiji na kwenda kuwajengea nyumba mkoa hata mwingine.
Hili sio swala la kusherekea, kumbuka wale wana haki yao pale, whay leo wahamishwe?