Watanzania tumepata pigo ule mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima Uganda kuja Tanga umesitishwa kwa kukosa ufadhili

Babe la mji

JF-Expert Member
Dec 14, 2019
983
2,053
Hili ni pigo kubwa Sana kwenye uchumi wetu,inasemekana wanaharakati wa mazingira ndiyo wamekua kikwazo Cha huu mladi kufanyika eti kisa utasababisha watu kuhamishwa kwenye makazi yao ya asili na utasababisha uchafuzi wa mazingira .Wanasema tena unapita kwenye hifadhi za mbuga za wanyama.Huu mradi ulikua umepata ufadhiri wa benk moja kutoka ujerumani.

Soma

👇🏾👇🏾👇🏾

FRANKFURT, May 15 (Reuters) - Deutsche Bank (DBKGn.DE) is not financing a pipeline in Africa that environmental campaigners have said will displace thousands of families and disrupt nature reserves, a person with knowledge of the matter said on Sunday.

Germany's largest lender has come under pressure to clarify its stance on the financing of the planned $3.5 billion East African Crude Oil Pipeline (EACOP), which would stretch more than 1,400 kilometres from Uganda to Tanzania.

Deutsche has so far not commented on the project despite the pressure increasing ahead of the bank's annual general meeting on Thursday. The environmental activist group 350.org is organising a series of protests in the coming days.

"Many major banks and insurers have already pulled out of this devastating project. We're raising the pressure on Deutsche Bank, as one of the only major banks in Europe that has not yet withdrawn their support for EACOP," 350.org has said ahead of the planned protests.

The French energy giant Total (TTEF.PA), which is developing the pipeline with China National Offshore Oil Corporation, has said it was taking steps to mitigate the environmental and human impact of the project.

In recent years, Deutsche Bank has marketed itself as a bank that companies can turn to as they transition to a greener future.

"We have placed sustainability at the core of our strategy," Chief Executive Officer Christian Sewing said last year.

Deutsche Bank has never been involved in the financing of the pipeline, said the person, speaking on condition of anonymity.

Deutsche Bank said in a statement that it doesn't comment on clients, but that it "supports the transition to a low-carbon economy" and its policies prohibit it from knowingly financing projects that clear primary forests, areas of high conservation value and peatlands.

The campaign called #STOPEACOP says on its website that the pipeline puts at risk water for millions of people, and will cut through land critical for elephants, lions and chimpanzees.
 
Ni mradi wa $3.5, zaidi ya 8trillion tshilings.
Unaweza kufanyika kwa phase. Kila mwaka zinawekwa trillion mbili kutoka kila upande. Sasa ulitegemea ufadhili wa trilion 8. Unadhani faida utaanza kuipata lini ili huo uwekezaji uwe wenye faida kwa raia wako? Ukiegemea kwenye ufadhili pekee itakuchukua miaka mingi huku ukiendesha mradi wako kwa kulipia deni.
 
Hili ni pigo kubwa Sana kwenye uchumi wetu,inasemekana wanaharakati wa mazingira ndiyo wamekua kikwazo Cha huu mladi kufanyika eti kisa utasababisha watu kuhamishwa kwenye makazi yao ya asili na utasababisha uchafuzi wa mazingira .Wanasema tena unapita kwenye hifadhi za mbuga za wanyama.Huu mradi ulikua umepata ufadhiri wa benk moja kutoka ujerumani.
View attachment 2232011
Wapi waliposema umesitishwa? Kwani Kwani creditor mmja akijotoa ndio wote wameisha?
 
Unaweza kufanyika kwa phase. Kila mwaka zinawekwa trillion mbili kutoka kila upande. Sasa ulitegemea ufadhili wa trilion 8. Unadhani faida utaanza kuipata lini ili huo uwekezaji uwe wenye faida kwa raia wako? Ukiegemea kwenye ufadhili pekee itakuchukua miaka mingi huku ukiendesha mradi wako kwa kulipia deni.

Unajua fitina za kibiashara, unaweza kujenga huo mradi kwa fedha zako, kisha ukipeleka mafuta kwenye soko wanasema hayana ubora. Wakikukopesha watakata deni lao kwenye mauzo ya mafuta.
 
Chanzo ni hiki hapa
Screenshot_20220520-172210.jpg
 
umesikia kwenye clip au nini. nishapokea tenda ofisni kwangu na wanakuja kwa kasi sana mkoa niliopo bomba linapita. sasa sijui umeokota wapi hizi habari
 
Ni bilioni ngapi zinashindikana kupatikana tanzania na uganda? Tuache utegemezi wa kijinga kwenye maswala ya msingi.
Ninakubaliana nawe, ila tatizo ni zaidi ya hilo.

Ukishajenga kwa kujinyima kwa pesa yako, watageuka na kuanza kupiga kampeni ya kuzuia kuuza mafuta yako duniani.

Tatizo ni hawa. Huu ni ukoloni mpya mbaya sana unaoingia kinyumenyume bila sisi kujua. Hawa watu huko kwao walichafua sana mazingira hadi walipofika hapo walipofikia, sasa sisi hata ukitaka kuwauzia avocado watakupa masharti hadi utashindwa kuuza hiyo bidhaa kwao.

Inafaa tuanze mapema kuutambua huu ukoloni mpya mapema.

Furaha ya hawa watu ni kutuona sisi tukiwa na hali duni zaidi, huku wao wakiwa juu yetu.
 
umesikia kwenye clip au nini. nishapokea tenda ofisni kwangu na wanakuja kwa kasi sana mkoa niliopo bomba linapita. sasa sijui umeokota wapi hizi habari
Sijaokota hii habari ni kweli kabisa imechapishwa na VOA.Labda jambo la mhimu ni serikali itoe ufafanuzi kwa Sababu mradi wenyewe una maslahi ya Nchi.
 
Unajua ukicheza/ kushirikiana na Nguruwe watu wakikuona, hawatasema ni nguruwe ndiyo Mjinga bali wewe.
 
Hawa ndio watanzania imagine wewe ndio kiongozi si kila siku utakuwa anafanya kazi ya kuilemisha jamii.

Ndio maana Magufuli kuna wakati alikuwa hana muda wa kujibu hoja za kijinga sijui anauwa watu, ana haribu democracy na mambo mengine ambayo wenye akili timamu wanajua si kweli.

Hili jambo serikali imeshalitolea ufafanuzi si kweli, source zenyewe za habari sio credible; ila watanzania bado tu wanekazana mradi umekufa.

Kweli upoteze muda kuelezea watu aina hii utafanya jambo la maana kweli si kila siku utakuwa unajibu maswali yao.
 
Back
Top Bottom