Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,131
- 29,790
Shikamoo mzee.
Nilikuwa nakujulia hali tu ,kiongozi!
Hali ya maji maeneo ya Mbezi Beach jana jioni.
View attachment 3578337
Shikamoo mzee.
Nilikuwa nakujulia hali tu ,kiongozi!
Hali ya maji maeneo ya Mbezi Beach jana jion
Yupo busy kumtua mama ndoo kichwani!Hakuna waziri hapo
Serikali nzima ina consume tu mishahara.hakuna wizara tz inayo fanya kazi angalau kwa 20%
watu wanalipwa mishahara ila wanacho kifanya hata wao hawakijui n upumbavu mtupu
Ahahaha yuko bize kuoa wanawake mitala tu,pumbavu huyoYupo busy kumtua mama ndoo kichwani!
Utendaji wa serikali uko at its lowest!Hii Nchi ni kama hamna "Sirikali"
Duh...!.View attachment 3578337
Shikamoo mzee.
Nilikuwa nakujulia hali tu ,kiongozi!
Hali ya maji maeneo ya Mbezi Beach jana jioni.
Wizara ya Maji, kaput!Duh...!.
P.
Serikali kaput?Wizara ya Maji, kaput!
Wizara ya Ujenzi kaput!
Tutegemee nini tena?