Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari, Tanzania kwa Mara ya kwanza ilishuhudia kupata Rais na Makamu wake wenye sifa ambazo kama zingeunganika vizuri basi katika ile miaka 5 Tanzania ingepata maendeleo ambayo ingechukua hata...
2 Reactions
1 Replies
649 Views
Uelewa wangu mpaka sasa ni kwamba Ngorongoro ni hifadhi na eneo la urithi wa dunia. Ni eneo lililotengwa kwa sababu ya upekee wa binadamu ambao ni Masai wanaishi na wanyamapori uku wakifanya...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda (Mb) ametoa rai kwa viongozi wapya wa Skauti Tanzania kuimarisha Skauti shuleni na vyuoni ili kuondokana na changamoto ya malezi na...
1 Reactions
4 Replies
756 Views
Vituo vingi vya mafuta havitoi tena risti za mfumo wa kielektroniki kwa kisingizio mashine ni mbovu. Huenda huo ni ulaji mpya baina ya maafisa wa TRA kwa kushirikiana na wamiliki wa vituo vya...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Zanzibar ni nchi Huru Ni muhimu sana ipate IGP, CDF na mkurugenzi wake wa Usalama wa Taifa. Ile ni nchi tuache mambo ya kufumbafumba. Zanzibar ipate haki yake kwani ina Amiri eshi mkuu wake...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameshiriki Maadhimisho ya Miaka 41 ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMAJKT) yaliyofanyika katika Viwanja vya...
0 Reactions
0 Replies
791 Views
Tangu serikali ya CCM awamu ya sita chini ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan iingie madarakani wengi walikuwa na hofu kuhusu miradi ya kimkakati. Sasa nakufahamisha Mama kaupiga mwingi sana...
3 Reactions
6 Replies
886 Views
Hakika Inashangaza na Kusikitisha sana Kuona Tunaowaamini kuwa Watailinda na Kuitetea KATIBA ndio hao Wanao ichezea kwa MAKUSUDI kwa Mambo ya HOVYO. UCHAGUZI wa Mwaka 2020 kila Mtanzania hata...
19 Reactions
43 Replies
3K Views
Naomba kufahamu historia kwa ufupi kuhusu maisha, elimu na kazi yake ndugu Sahili Nyanzabala ambaye ndiye kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa. Toka nianze kumfuatilia namuona ni mzalendo sana na...
4 Reactions
29 Replies
7K Views
Kwanza kabisa napenda kukusalim kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ama baada ya salam zang, natumia haki yang ya kikatiba kama mtanzania kukupongeza kwa kazi kubwa uliyoifanya kama...
17 Reactions
84 Replies
7K Views
Rais Samia amesema CDF mstaafu General Mabeyo bado ana nguvu hivyo Serikali itampangia Majukumu mengine ya kufanya na Leo tutasikia redioni Source ITV habari
8 Reactions
35 Replies
4K Views
Nauli kutoka Mwanza kwenda Bukoba au kutoka bukoba kwenda mwanza imepanda na itaanza kutumika jumatatu ya tarehe 4 July mwaka huu. Daraja la chini ilikuwa 16000, itakuwa 21000 Daraja la Kati...
7 Reactions
49 Replies
8K Views
Kipindi cha Magufuli sukari tu ilipanda bei kutoka 1400 hadi 2400 chadema walipiga mayowe balaa kupinga hali hiyo. Lakini sasa hivi wanalamba asali wako kimyaaa, Mbowe yuko bize kuhudhuria Ikulu...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Nimeanzisha hii thread baada yakuona ipo haja kuwa alert leader kuwamakini pindi wanaongea na viongoz wenzao au wanaongea na jamii. Kuwa kiongozi sio kuwa na akili au uwezo kuliko wengine hapana...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
MAADUI ZETU NI WATU WAZURI,TUWAOMBEE MAISHA MAREFU. Leo 13:15hrs 02/07/2022 Maisha yanaanza na kibao cha mgongoni mtoto analia,kila mtu anafurahi ya kwamba mtoto ni mzima,kibao baada ya kuzaliwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sakata la Loliondo lachukua sura mpya baada ya Serikali kuamua kutumia kigezo cha Uhamiaji Haramu ili kuwaondoa wamasai kwa nguvu kwenye eneo hilo alilouziwa mhamiaji kutoka nchi za kiarabu na...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Tanzania kuanzia kuanzia kuanzishwa kwake haijawahi kuwa nchi ya kawaida kama nyingine, ni nchi inayotumiwa kama sehemu ya majaribio ya mifumo ya maisha, ndiyo maana Communism Dunia nzima iliitwa...
2 Reactions
11 Replies
896 Views
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo Jumatatu Juni 27, 2022 imetoa zuio la muda la kutofanyika chochote kwenye Ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18 mpaka pale itakaposikiliza maombi ya rufaa...
14 Reactions
150 Replies
13K Views
Tangu niwepo Tanzania na kuanza kujitambua SIJAWAHI ona Wala kusikia Mwanachama au wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM wamefukuzwa uanachama wakaenda Mahakamani. Hii imenifanya niwe na maswali...
1 Reactions
1 Replies
561 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi: Tanzania kuboresha mazingira rafiki ya Biashara nchini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...
0 Reactions
1 Replies
713 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…