Ndani ya CCM hakuna kiongozi wa kunusuru aibu ya Bunge na Tume ya Uchaguzi suala la Halima Mdee na Wenzake?

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,074
Kutokana na Uamuzi wa MAHAKAMA kukubali Ombi la Halima na Genge lake KUFUNGUA kesi ya Kupinga KUFUKUZWA CHADEMA ili Kulinda UBUNGE wao FAKE ni Dhahiri CHADEMA ndicho walichokuwa WANAKITAKA ili MBIVU na MBICHI ZIJULIKANI.

Mchakato wa Kuwapata WABUNGE Hao FAKE kila Mtanzania mwenye AKILI TIMAMU Anaujua .HOFU yangu ni AIBU isijetokea kama ilivyotokea kwenye KESI ya KUBAMBIKIZA ya UGAIDI ya MBOWE na Wenzake. kwa Serikali na VYOMBO vyake mpaka DPP kuamua Kuifuta ile KESI.

Nauliza hivi ndani ya CCM hakuna Kiongozi anayeiona hii AIBU kutokea kwa BUNGE na TUME ya UCHAGUZI?

Kwani Wabunge hao Wapiganiwe na CCM ili hali wangeweza Kutimiza Takwa la KIKATIBA la Kuwaondoa Bungeni kama Sheria inavyotaka na kwa kuwa CCM inataka MARIDHIANO na Vyama vya Upinzani iwatake CHADEMA Wateuwe WABUNGE WENGINE.
 
Back
Top Bottom