Polisi Dodoma yadai Mwaipaya alikamatwa kwa Makosa ya Mtandao yaliyosababisha Taharuki kwa wananchi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,601
217,992
Akizungumza na Wanahabari leo Mkoani Dodoma , RPC wa eneo hilo alidai kwamba , kiongozi wa Bavicha Twaha Mwaipaya alikamatwa kwa makosa ya Mtandao yaliyosababisha Taharuki kwa wananchi .

Mtukufu RPC ameshindwa kuyataja Makosa hayo aliyoyaita ya Mtandao , Wala hakutaja majina na Idadi ya Wananchi ambao amedai Walipata Taharuni kutokana na Mambo ya Mitandaoni yaliyowekwa na Mwaipaya .

Sasa sisi swali letu kwa nyinyi watu wa JF ni dogo tu , NI NANI KATI YENU ANAMFAHAMU MTU YEYOTE ALIYEPATA TAHARUKI KUTOKANA NA MAANDISHI YA TWAHA MWAIPAYA MITANDAONI ? tafadhali kama ni binamu yako , dada yako , mumeo au mkeo au jirani yako alipata hiki kinachoitwa Taharuki tuambie ili Tumkanye Mwaipaya asirudie tena .

Bado mimi na wengine wachache tunaamini kwamba kuna haja Mahsusi ya KULIVUNJILIA MBALI JESHI LA POLISI NA KULIUNDA UPYA , Hawa Polisi watunga uongo na wanaotumwa tumwa kusumbua vijana wa Upinzani , watasababisha Matatizo , ni Muhimu sana kuwang'oa kwa Masilahi mapana ya Taifa , Wala haitakuwa ajabu , mbona Nyerere aliachana na Polisi wa Kikoloni baada ya Uhuru wa Tanganyika ?
 
Mimi kwanza nilishangaa kusikia Twaha Mwaipaya kakamatwa kwa kosa kama hilo kwa sababu ninamfollow kila platform yake na hakuna lolote alilokuwa kapost popote la kushtua hata kidogo! Basi tu kuna fisiemu anabidi naye anajaribu kumsumbua tu ndio maana waliposikia kupandishwa kizimbani wakamtema usiku usiku Nyambafu zao mapoliccm mafeilia divisheni 60 pointi 600!
 
Mbona RPC ametamka wazi kwamba Mwaipaya alitoa taarifa ya kupanda kwa bei za umeme nchini,wakati sio kweli.

Hiyo clip ipo na ameweka wazi kabisa.
 
Hata kama maana yake haijulikani , lakini ni Akina nani waliipata Taharuki hiyo ?
Kama hatujui maana ya taharuki hatuwezi kujua nani kapata taharuki...

the guy is right, tuanze na maana ya taharuki.

Ni hasira, stress, hofu, kupandisha blood pressure, kupandisha munkari au kupandisha majini ???
 
Binafsi ningevunja wizara nzima ya home affairs na kutengeneza wizara mbili, wizara ya police (usalama wa raia na mali zao)na wizara ya mambo ya ndani (uraia na immigrations),ningeajiri vijana zaidi wenye elimu hasa IT,graduates wa chemistry (hawa watafundishwa foresinc investigations)na ningetoa ID'S kwa raia zinazoongea kwenye systems nikianzia na watoto wanaozaliwa, mama kabla hajawa discharged ni lazima awe na Birth certificate hasa unabridged one.
 
Akizungumza na Wanahabari leo Mkoani Dodoma , RPC wa eneo hilo alidai kwamba , kiongozi wa Bavicha Twaha Mwaipaya alikamatwa kwa makosa ya Mtandao yaliyosababisha Taharuki kwa wananchi .

Mtukufu RPC ameshindwa kuyataja Makosa hayo aliyoyaita ya Mtandao , Wala hakutaja majina na Idadi ya Wananchi ambao amedai Walipata Taharuni kutokana na Mambo ya Mitandaoni yaliyowekwa na Mwaipaya .

Sasa sisi swali letu kwa nyinyi watu wa JF ni dogo tu , NI NANI KATI YENU ANAMFAHAMU MTU YEYOTE ALIYEPATA TAHARUKI KUTOKANA NA MAANDISHI YA TWAHA MWAIPAYA MITANDAONI ? tafadhali kama ni binamu yako , dada yako , mumeo au mkeo au jirani yako alipata hiki kinachoitwa Taharuki tuambie ili Tumkanye Mwaipaya asirudie tena .

Bado mimi na wengine wachache tunaamini kwamba kuna haja Mahsusi ya KULIVUNJILIA MBALI JESHI LA POLISI NA KULIUNDA UPYA , Hawa Polisi watunga uongo na wanaotumwa tumwa kusumbua vijana wa Upinzani , watasababisha Matatizo , ni Muhimu sana kuwang'oa kwa Masilahi mapana ya Taifa , Wala haitakuwa ajabu , mbona Nyerere aliachana na Polisi wa Kikoloni baada ya Uhuru wa Tanganyika ?
Aisee hii nalo ni tatizo la kutojiamini kwa majeshi yetu
 
MTU ALIYEPATA TAHARUKI KUTOKANA NA MAANDISHI YA TWAHA MWAIPAYA NI RPC WA DODOMA NA MKE WAKE TU.
 
Kama hatujui maana ya taharuki hatuwezi kujua nani kapata taharuki...

the guy is right, tuanze na maana ya taharuki.

Ni hasira, stress, hofu, kupandisha blood pressure, kupandisha munkari au kupandisha majini ???
Làbda Ni sedition....incite violence....Kitu Kama hicho. What are the ingredients of sedition? It is not easy to prove that...
 
Unapotoa taarifa kua bei ya umeme imepanda wakati wewe sio msemaji wa shirika la umeme wala msemaji wa wizara ya nishati lengo lako hasa ni nini?!....mnawapa wenyewe sababu za kuwakamata halafu mnabaki kulalama kua mnaonewa...Taharuki:- ni hofu,mashaka na sintofahamu inayotokea kwa wananchi kwa taarifa za uzushi
Mytake:Unapokua wewe ni kiongozi wa chama au taasisi yeyote na unatumia akaunti ambayo iko verified jihadhari sana na kuropoka mambo bila kua na ushahidi
 
Akizungumza na Wanahabari leo Mkoani Dodoma , RPC wa eneo hilo alidai kwamba , kiongozi wa Bavicha Twaha Mwaipaya alikamatwa kwa makosa ya Mtandao yaliyosababisha Taharuki kwa wananchi .

Mtukufu RPC ameshindwa kuyataja Makosa hayo aliyoyaita ya Mtandao , Wala hakutaja majina na Idadi ya Wananchi ambao amedai Walipata Taharuni kutokana na Mambo ya Mitandaoni yaliyowekwa na Mwaipaya .

Sasa sisi swali letu kwa nyinyi watu wa JF ni dogo tu , NI NANI KATI YENU ANAMFAHAMU MTU YEYOTE ALIYEPATA TAHARUKI KUTOKANA NA MAANDISHI YA TWAHA MWAIPAYA MITANDAONI ? tafadhali kama ni binamu yako , dada yako , mumeo au mkeo au jirani yako alipata hiki kinachoitwa Taharuki tuambie ili Tumkanye Mwaipaya asirudie tena .

Bado mimi na wengine wachache tunaamini kwamba kuna haja Mahsusi ya KULIVUNJILIA MBALI JESHI LA POLISI NA KULIUNDA UPYA , Hawa Polisi watunga uongo na wanaotumwa tumwa kusumbua vijana wa Upinzani , watasababisha Matatizo , ni Muhimu sana kuwang'oa kwa Masilahi mapana ya Taifa , Wala haitakuwa ajabu , mbona Nyerere aliachana na Polisi wa Kikoloni baada ya Uhuru wa Tanganyika ?
Polisi kusukumana na wanasiasa wa upinzani kila mara je ni mkakati wa kuisaidia ccm inayoshindwa kwa hoja?
 
Back
Top Bottom