CCM na Chaguzi kwa maslahi ya vijana

la mwinyxian

New Member
Dec 8, 2016
2
1
Ni kweli kwenye chaguzi hizi hatuna nafasi maalum za upendeleo kwa vijana , lakini binafsi ningependa vijana wajitokeze kushiriki zaidi katika hatua zote za uchaguzi . Ninaamini vijana wana uwezo wa kushiriki na kushinda ila ni lazima vijana kutambua na kuzingatia pia kuwa uongozi wa nchi hii siku zote umekuwa mikononi mwa CCM , na lengo letu ni kuwa uendelee hivyo .

Lakini , hiyo itawezekana tu iwapo Chama chetu kitakuwa na uongozi bora , uongozi wenye uwezo , uongozi unaojituma kwa maendeleo ya taifa , uongozi uliosheheni uadilifu na umakini , uongozi unaoweka mbele maslahi ya taifa na wananchi , uongozi usiohusudu maslahi binafsi .

#kijanaWavijana
#ItikadiKijiweni
#KijiweMaarif
IMG_20220704_090815_163.jpg
 
CCM sio chama cha vijana, hicho ni chama cha kizazi kilichopita. Na uwepo wake unategemea ukondoo wa wananchi, na uwepo wa vyombo vya dola. Hivyo vijana tafuteni vyama vya vijana.
 
Back
Top Bottom