Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tusidanganyike kirahisi wakuu, Kuna watu maarufu sana duniani kama David Beckham na mke wake walisha wahi kuja kula good time hapa nchini na wakazungukia vivutio vyetu miaka ya nyuma. Pia kuna ma...
16 Reactions
52 Replies
4K Views
Katika pitapita zangu nimekutana na video ya Anthon Mtaka akizungumza kuhusu Elimu, hii hapa chini Nikaona kaongea ukweli fulani ,Hivi wana JF ,mtu ambae hajawahi somesha mtoto shule ya serikali...
11 Reactions
44 Replies
4K Views
Kama upepo ulivyo, habari za Royal Tour zishaanza kupita. Watanzania tushahamia kwenye habari za Lengai Sabaya. Toka mwanzo, mimi nilikuwa na shaka sana juu ya hiyo filamu. Kama lengo lake...
49 Reactions
200 Replies
17K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika amewataka viongozi wa chama hicho mkoani Simiyu kutokaa kimya badala yake wapaze sauti kueleza changamoto zinazowakabili...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Wana JF Wakulima tunataka kuona bei ya mbolea inashuka nchini, pia tunataka kuona mikakati ya Serikali ya kushusha bei ya mbolea lakini maelezo aliyoyatoa Waziri Bashe hayaleti unafuu wowote kwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimetembelea ukurasa wa World Bank ambako Bashe alichota bei na kuzilinganisha na mwaka huu, 2022. Kwa maoni yangu, Waziri huyu hafai au an ufahamu mdogo. Lakini pia naona bunge likishangilia...
3 Reactions
57 Replies
4K Views
TAARIFA KWA UMMA Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu akiambatana na Katibu wa Fedha na Miradi Rachel Kimambo, Mwenyekiti wa Mkoa wa Dar es salaam Ndugu Renatus Pamba na Mwenyekiti wa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
CCM ya Shaka na nape ni CCM iliyojaa umaarufu wa sifa bila vitendo katika kutekekeza mambo mbalimbali yanayohusu serikali; Ni CCM ya michakato ni ccm isiyo na ubunifu ni CCM ambayo hata uwe...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Siku Moja katika pita pita zangu nlikutana na Jamaa mmoja anitwa NHIF ,huyu jamaa ni mdau mkubwa sana wa Afya kwa kifupi ni kajitolea kuwatunzia pesa zao Watu kwa Ajiri ya Matibabu yao baadae ...
20 Reactions
100 Replies
7K Views
Rais Samia akitoa hotuba katika kongamano la kumuenzi Hayati Benjamini Mkapa linalofanyika Zanzibar leo 14/ 7/ 2022 amesema kuwa watu wa sekta binafsi ni muhimu katika kufanikisha kasi ya...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Hali ni mbaya hali ni mbaya kupita maelezo, mitaani hali inazidi kuwa tete vitu havishikiki bei nashangaa imekuaje kumekua na mfumuko wa bei za bidhaa wa ghafla namna hii? yani vitu vimepanda...
13 Reactions
81 Replies
6K Views
Hakika NCHI kupitia MIRADI INAPIGWA HASWA Hata kama Wananchi tuna Shida ya Kivuko na pia Hatuna Elimu ya Uhandisi lakini hili DARAJA sio la MIL.74.6 WALIPA KODI TUMEPIGWA
8 Reactions
77 Replies
6K Views
SUPHIAN AGOMBEA CCM TAIFA, ATIA MSUMARI SUALA LA NGORONGORO, WARAKA WA RAIS SAMIA. Aliyekuwa Afisa Habari wa ACT wazalendo na mgombea wa Ubunge Jimbo la Singida Magharibi mwaka 2020, na...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
NAAM,wadau huwa najiuliza watu kama nape katibu mwenezi na mwigulu naibu katibu mkuu ccm,ingekua enzi zile za uhai wa mwalimu nyerere angeruhusu wapewe nafasi nyeti za uongozi wa chama kama...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
#KutokaManyoni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida Mhe. Martha Gwau ametembelea na kushiriki ujenzi wa Shule ya Wasichana Mkoa wa Singida ya Solya iliyopo Wilaya ya Manyoni. Akizungumza baada...
0 Reactions
1 Replies
974 Views
Naomba kuuliza hili swali ambalo huwa silielewi linashuhulikiwa vipi na sheria zetu. UTEKWAJI wa WAGOMBEA wa UPINZANI wanaoonekana Wana nguvu kuliko WAGOMBEA wa chama tawala kwanini wanatekwa na...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Habari wana JF, Binafsi sijawahi kuwa Mwanachama wa CCM na ni ukweli usipingika kwa Hiki Chama kutoka madarakani itakuwa Ngumu sana sana kuliko tunavyofikiri Sasa hivi kwa hali ilivyo sio rafiki...
4 Reactions
12 Replies
798 Views
Sisi wanachama wa CHADEMA tunataka kuona, kusikia na kufanya mambo yanayosaidia kujenga, kukuza na hatimaye CHADEMA kuingia ikulu. Kwa mara nyingine CHADEMA imenasa kwenye mtego wa ulimbo wa CCM...
7 Reactions
108 Replies
7K Views
Tafakari yangu ya leo, kwa swali kuu nililokuwa nikijiuliza ni hili Rais alifanya mabadiliko ya baraza la mawaziri kwanini hakuteua msimamizi wa shughuli za serikali mwingine, tunahitaji freshness...
1 Reactions
5 Replies
798 Views
No Joke- Rais Samia Ametengeneza ajira nyingi zaidi ndani ya kipindi cha miezi 18 kuliko Marais wa Tatu waliopita Tanzania. Amerejesha asilimia 90 ya kazi zilizopotea chini ya janga la Corona...
0 Reactions
9 Replies
834 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…