Tunahitaji msimamizi wa shughuli za Serikali asiyeogopa kuchafuka

Bibititi1

JF-Expert Member
Sep 28, 2014
464
218
Tafakari yangu ya leo, kwa swali kuu nililokuwa nikijiuliza ni hili Rais alifanya mabadiliko ya baraza la mawaziri kwanini hakuteua msimamizi wa shughuli za serikali mwingine, tunahitaji freshness ya nafasi ya msimamizi wa shughuli za serikali.

Kwa changamoto nyingi zilizopo ndani ya nchi na tunazozipitia Rais anahitaji kiranja muaminifu ambaye ataweza kusimamia shughuli za serikali. Si yule mwenye ndoto za kuishi kifahari, kuabudiwa na kupora mali za umma. Asiyefanya Uongozi kama sehemu ya kusaka fursa kwa njia yoyote. akikosa CCM ataunda Umoja Party.

She is a very good administrator, serikali ya Samia inaweza kufanya vizuri sana zaidi ya hapa inachokosa kwenye serikali ni usimamizi wa shughuli za serikali.

Awamu ya Sita ilipoingia madarakani ilichagua kuanza na Elimu, Afya, Maji na huduma za jamii pamoja Na kuamua kuendeleza miradi ya kimkakati ya awamu ya tano.

Tuna miradi ya kimkakati ambayo inatukwamua fedha inahitaji usimamizi. Ujenzi wa reli ya kisasa zaidi ya dola bilioni saba, ununuzi wa ndege wa zaidi ya dola bilioni moja. Ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme la Rufiji maarufu kwa jina la Stiglers Gorge litakalogharimu dola bilioni 3.5 hizi project hazikuweza kuachwa nyuma. Nani awe msimamizi wa shughuli hizi utagundua hapa si Rais anahitajika msimamizi hizi shughuli za serikali.

Kama Serikali iliamua kutafuta fedha kwanza ili kutekeleza na kutatua Changamoto hizi. Mpango wa maendeleo Taifa wa awamu ya pili jukumu alikabidhiwa Waziri Mkuu aweze kuzisimamia taasisi na halmashauri mbalimbali nchini zilizopewa fedha Kwa ajili ya kutekeleza miradi hii. Hizi kelele kutoka Mara, Mbeya, Iringa, Mwanza watu kutafuna Pesa miradi ujasiri wanautoa wapi...?

Mafanikio ya mpango huu wa awamu ya Pili wa maendeleo mbali na kupatikana kwa fedha kutoka IMF yalitegemea pia mchango wa taasisi zetu za Serikali. Taasisi zenye jukumu la kusimamia na kuhakikishana miradi inakamilika kwa wakati na hakuna ufujaji unaojitokeza. Msimamizi wa shughuli za serikali ni nani...?

Unapokuwa na nchi yenye miradi ya kurithi ya kimkakati na mikubwa kama hii unahitaji msimamizi mzuri wa Serikali kusaidia shughuli zifanyike kwenye matokeo unayoyatarajia.

Mfano April 10th 2021 Waziri Mkuu alipotembelea mradi wa bwawa la Mwalimu Nyerere alitoa ahadi kwa wananchi ifikapo Juni 2022 Umeme utaanza kuzalishwa. Tunajua si kweli sababu ya mkandarasi kugawa kazi muhimu kwa sub-contractor bado tutachelewa tu. Msimamizi wa shughuli za serikali anawajibu wa kuhakikisha miradi inatekelezwa kwa wakati..!

Katika nyakati muhimu kama hizi anahitajika msimamizi wa shughuli za Serikali tunahitaji Viongozi watiifu na waaminifu wa kumlinda na kumsaidia Rais na kukubali kubeba lawama zote na kuchafuka kwa niaba ya Rais? wako wapi?

Huyu alizoea Propaganda...!
 
Umekomalia Sana issue ya wazir mkuu , huu ni Uzi wa 100 sasa unamwanzishia ..!!
 
Huyu hatoshi kwenye nafasi yake ni sifuri kama sifuri nyingine.
 
Ni kweli atoke tu. Ili tupige hatua tunahitaji picha mpya hapo.
 
Back
Top Bottom