Ni heri CCM ya Polepole kuliko CCM ya Nape na Shaka

Tajiri wa kinyankole

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,973
Reaction score
4,891
CCM ya Shaka na nape ni CCM iliyojaa umaarufu wa sifa bila vitendo katika kutekekeza mambo mbalimbali yanayohusu serikali;

Ni CCM ya michakato ni ccm isiyo na ubunifu ni CCM ambayo hata uwe mbadhilifu kiasi gani utapewa nafasi nyingine ndani ya serikali

Ni CCM ambayo hatakama ulihusishwa na kashifa mbalimbali katika uongozi utapewa uongozi wowote bila kujali miluzi ya wananchi!

Ni CCM inayoamini ushindi upo hata tuongoze wananchi kwa mijeledi ni CCM

Ni CCM inayoamini chama kinawenyewe ni CCM inayiamini katika kundi flani ndiyo wenye nchi na ndiyo wanaostahiri kupewa uongozi!

Ni CCM ya iliyijificha katika kichaka cha demokrasia kumbe ni mbinu ya kulishana keki ya taifa kwa kuwaziba midomo wapinzani huku wabanchi wakikosa wakuwasemea.

CCM ya polepole ni CCM iliyoamini katika kazi kwa vitendo

Ni CCM iliyokuwa haina mchakato katika kuamua jambo

Ni CCM iliyoamini kila mtu anafaa kuwa kiongozi ndani ya chama hata nje ya chama

Ni CCM iliyoamini ili uwemchapakazi siyo lazima utoke ndani ya chama

Ni CCMiliyoangalia historia mbalimbali ya viongozi wake ndani ya chama kwa kuwapima utendaji wao na kuamua kuwaweka pembeni waliowengi ambao hakuwa na msaada wowote katika taifa zaidi ya fursa.

Ni CCM iliyoamini Tanzania tunaweza bila kuwapigia magoti nchi za nje

Ni CCM ambayo haikuamini kuwa chama kinawenyewe

Ni CCM iliyojijengea umaarufu kwa wananchi kwa uchapakazi ulioonekana mbele yao.

Ni CCM iliyianzisha miradi ya kimkakati na kutekelezwa kwa muda mfupi!

Ni CCM ambayo HAIKUJALI KATIKA DEMOKRASIA KWANI UPINZANI ULIOKUWEPO WALIJUA NI UPINZANI MASLAHI
 
Hakuna CCM yenye unafuu zote ni takataka Tu kuanzia enzi ya mwinyi mpaka Samia hakuna kitu..
CCM ya ukweli ni Ile ya kipindi cha Nyerere tu
 
Huwezi kulinganisha CCM ya Shaka na CCM ya Polepole. Hawalingani hata kidogo. Ukweli ni kwamba, CCM ya Polepole ilikuwa motomoto lakini sasa imepoa kama maji ya mto Ruhuji Njombe.
 
CCM ya Nape na Shaka inabidi ufiche kwanza shati la chama. ukikaribia kwenye kikao/mkutano ndio uvae.

Sasa hivi ni ngumu sana kumkuta mtu amevaa jezi ya ccm kwa uhuru.
Utavaae je kwa uhuru wakati Maji ya Mgao?

Utavaaje wakati umeme unakatika katika?.

Utavaaje wakati Miundombinu haijengwi tena?. Nini cha kujivunia sasa wakai bei ziko juu na tozo juu yake?
 
CCM ya Shaka na nape ni ccm iliyojaa umaarufu wa sifa bila vitendo katika kutekekeza mambo mbalimbali yanayohusu serikali; ni ccm ya michakato ni ccm isiyo:na ubunifu ni ccm ambayo hata uwe mbadhilifu kiasi gani utapewa nafasi nyingine ndani ya serikali ni ccm ambayo hatakama ulihusishwa na kashifa mbalimbali katika uongozi utapewa uongozi wowote bila kujali miluzi ya wananchi! ni ccm inayoamini ushindi upo hata tuongoze wananchi kwa mijeledi ni ccm ni ccm inayoamini chama kinawenyewe ni ccm inayiamini katika kundi flani ndiyo wenye nchi na ndiyo wanaostahiri kupewa uongozi! ni ccm ya iliyijificha katika kichaka cha demokrasia kumbe ni mbinu ya kulishana keki ya taifa kwa kuwaziba midomo wapinzani huku wabanchi wakikosa wakuwasemea.

CCM ya polepole ni CCM iliyoamini katika kazi kwa vitendo ni ccm iliyokuwa haina mchakato katika kuamua jambo ni ccm iliyoamini kila mtu anafaa kuwa kiongozi ndani ya chama hata nje ya chama ni ccm iliyoamini ili uwemchapakazi siyo lazima utoke ndani ya chama, ni ccm iliyoangalia historia mbalimbali ya viongozi wake ndani ya chama kwa kuwapima utendaji wao na kuamua kuwaweka pembeni waliowengi ambao hakuwa na msaada wowote katika taifa zaidi ya fursa.ni ccm iliyoamini tanzania tunaweza bila kuwapigia magoti nchi za nje ni ccm ambayo haikuamini kuwa chama kinawenyewe ni ccm iliyojijengea umaaarufu kwa wananchi kwa uchapakazi ulioonekana mbele yao. ni ccm iliyianzisha miradi ya kimkakati na kutekelezwa kwa mda mfupi! ni ccm ambayo HAIKUJALI KATIKA DEMOKRASIA KWANI UPINZANI ULIOKUWEPO WALIJUWA NI UPINZANI MASLAHI
Chama cha Majambazi (CCM) ni kile kile utofauti wao ni kwenye fedha tu.
 
We can not compare Pole pole na Shaka sababu kubwa ni Mabosi wao ni tofauti na mtazamo wa chama umebadilika kiasi. Polepole na mwenyekiti wake waliamini katika maonevu, utekaji, kununua wapinzani, kuiba kura na mabavu na nia ilikuwa ni kutengeneza Rais wa milele, lengo la Shaka na chama naona lipo tofauti. Hawawezi kuwa sawa hata kidogo.
 
Kama wapinzani walikubali kununulika basi hao ni wachumia tumbo ndo maana CCM ya Polepole iliwadharau. Shaka mwenyewe mtoa rushwa na mla rushwa, kwani tumesahau sakata lake la kukamatwa akitoa rushwa ya uchaguzi kule Morogoro?
 
Kama alivyokuwa anafanya Magufuri na Polepole
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu,pole sana
CCM ya Shaka na nape ni ccm iliyojaa umaarufu wa sifa bila vitendo katika kutekekeza mambo mbalimbali yanayohusu serikali; ni ccm ya michakato ni ccm isiyo:na ubunifu ni ccm ambayo hata uwe mbadhilifu kiasi gani utapewa nafasi nyingine ndani ya serikali ni ccm ambayo hatakama ulihusishwa na kashifa mbalimbali katika uongozi utapewa uongozi wowote bila kujali miluzi ya wananchi! ni ccm inayoamini ushindi upo hata tuongoze wananchi kwa mijeledi ni ccm ni ccm inayoamini chama kinawenyewe ni ccm inayiamini katika kundi flani ndiyo wenye nchi na ndiyo wanaostahiri kupewa uongozi! ni ccm ya iliyijificha katika kichaka cha demokrasia kumbe ni mbinu ya kulishana keki ya taifa kwa kuwaziba midomo wapinzani huku wabanchi wakikosa wakuwasemea.

CCM ya polepole ni CCM iliyoamini katika kazi kwa vitendo ni ccm iliyokuwa haina mchakato katika kuamua jambo ni ccm iliyoamini kila mtu anafaa kuwa kiongozi ndani ya chama hata nje ya chama ni ccm iliyoamini ili uwemchapakazi siyo lazima utoke ndani ya chama, ni ccm iliyoangalia historia mbalimbali ya viongozi wake ndani ya chama kwa kuwapima utendaji wao na kuamua kuwaweka pembeni waliowengi ambao hakuwa na msaada wowote katika taifa zaidi ya fursa.ni ccm iliyoamini tanzania tunaweza bila kuwapigia magoti nchi za nje ni ccm ambayo haikuamini kuwa chama kinawenyewe ni ccm iliyojijengea umaaarufu kwa wananchi kwa uchapakazi ulioonekana mbele yao. ni ccm iliyianzisha miradi ya kimkakati na kutekelezwa kwa mda mfupi! ni ccm ambayo HAIKUJALI KATIKA DEMOKRASIA KWANI UPINZANI ULIOKUWEPO WALIJUWA NI UPINZANI MASLAHI
 
Hii nchi ipo mikononi mwa watu wasiojali shida za watanzania mimi nawambia humu kuna wapiga zumali kisa tu wanapewa hela ya bando na tsh 10,000/=kwa ajiri ya kutetea uozo wowote unaondelea, ukigusa utawala huu ni kama umegusa mkia wa chui utatukanwa sana kwa maneno ya sukuma gang na kufagia kaburi chato ulale na ww alipo lala jpm hizi ndoo akili za watanzania, hawaoni tatizo kwenye mfumuko wa bei hawaoni kodi zinafanya nini na nini hakifanyiki , wanazajwa porojo tu kichwani na kupiga makofi bila vitendo.
 
Chanzo matatizo yooooote uliyoyataja wewe ni MAGUFURI:-
1.Alianza kwa kumteua Mama Samiah kuwa makamu wa Rais na kwa mujibu wa Katiba yetu inapotokea rais amepatwa na tatizo la akili,ameugua ugonjwa usiotibika au kufa basi Makamu wa Rais ndiye atakuwa Rais.
2.Hakupenda demokrasia,hakupenda kukosolewa,hakupenda vyombo vya habari vinavyo criticize utawala wake,hakupenda wabunge wa upinzani na hakupenda vyama vya siasa vyenye mtazamo chanya unaokinzana na mtazamo wake.
3.Bila kupepesa macho au aibu kwenye mikutano yake alisema,"Yaani MKURUGENZI nakupa gari,nakupa posho,nakulipa mshahara halafuutangaze kuwa mpinzani ameshinda,basi kazi yako itakuwa imekwisha pale pale."
4.Matokeo yake uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 akaweka sheria kandamizi kwa wagombea wa vyama vya upinzani na wa ccm kupita bila kupingwa na bila aibu akasema tumeshinda kwa kishindo.
5.Na baadaye uchaguzi Mkuu wa 2020 akatofautisha siku za uchaguzi,siku ya kwanza Wanajeshi wote na vyombo vya ulinzi na usalama wakafanya uchaguzi,siku iliyofuatwa uchaguzi katika Jamhuri yetu huru ukawa kama chaguzi za Rwanda,Burundi,Uganda na Congo,akavuruga radha yote ya uchaguzi na kampeni akishirikiana na shetani Mahera.
5.Alipoona ameshinda kama alivyotaka yeye na si wananchi,akakumbuka shuka wakati wa asubuhi kuwa tumewakosea CHADEMA,sasa tunafanyaje ili Bunge letu lionekane ni la mfumo wa vyama vingi?Hapa tuwahonge wanawake kumi na tisa wa chadema watake wasitake wawe wabunge wa viti maalum,na kwa nguvu zake akafanya hivyo mpaka kwenda kutoa wengine gerezani kwenda kuwaapisha usiku kwa usiku Bungeni na mjinga wake Ndugai akabariki kwa kishindo na kuleta kejeli nyiiingi kama kawaida yake.

SASA WEWE UNALIA LIA MAISHA MAGUMU UNATAKA MAMA AFANYEJE WAKATI MTANGULIZI WAKE AMESHARATIBU HAYO MAISHA?
 
CCM ya Shaka na nape ni ccm iliyojaa umaarufu wa sifa bila vitendo katika kutekekeza mambo mbalimbali yanayohusu serikali; ni ccm ya michakato ni ccm isiyo:na ubunifu ni ccm ambayo hata uwe mbadhilifu kiasi gani utapewa nafasi nyingine ndani ya serikali ni ccm ambayo hatakama ulihusishwa na kashifa mbalimbali katika uongozi utapewa uongozi wowote bila kujali miluzi ya wananchi! ni ccm inayoamini ushindi upo hata tuongoze wananchi kwa mijeledi ni ccm ni ccm inayoamini chama kinawenyewe ni ccm inayiamini katika kundi flani ndiyo wenye nchi na ndiyo wanaostahiri kupewa uongozi! ni ccm ya iliyijificha katika kichaka cha demokrasia kumbe ni mbinu ya kulishana keki ya taifa kwa kuwaziba midomo wapinzani huku wabanchi wakikosa wakuwasemea.

CCM ya polepole ni CCM iliyoamini katika kazi kwa vitendo ni ccm iliyokuwa haina mchakato katika kuamua jambo ni ccm iliyoamini kila mtu anafaa kuwa kiongozi ndani ya chama hata nje ya chama ni ccm iliyoamini ili uwemchapakazi siyo lazima utoke ndani ya chama, ni ccm iliyoangalia historia mbalimbali ya viongozi wake ndani ya chama kwa kuwapima utendaji wao na kuamua kuwaweka pembeni waliowengi ambao hakuwa na msaada wowote katika taifa zaidi ya fursa.ni ccm iliyoamini tanzania tunaweza bila kuwapigia magoti nchi za nje ni ccm ambayo haikuamini kuwa chama kinawenyewe ni ccm iliyojijengea umaaarufu kwa wananchi kwa uchapakazi ulioonekana mbele yao. ni ccm iliyianzisha miradi ya kimkakati na kutekelezwa kwa mda mfupi! ni ccm ambayo HAIKUJALI KATIKA DEMOKRASIA KWANI UPINZANI ULIOKUWEPO WALIJUWA NI UPINZANI MASLAHI
Hamia Umoja Party...Sukuma Gang wanahamia huko...unangoja nini?
 
Back
Top Bottom