Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeona uchapakazi wako japo unaonekana una uchovu fulani (lakini ni wa baraka) Unapambana kweli kweli hongera sana kwa uchapa kazi. Mabilioni yamemwagwa Temeke DC wa Temeke Jokate Mwegelo...
13 Reactions
184 Replies
15K Views
Nianze kwa kusema kuwa TAKUKURU IKO WAPI? Mnamo mwaka 1998 TBL Ilianzisha mfuko kwa ajili ya wafanyakazi waliokuwa na shere za TBL ikiitwa Tanzania Breweries Employees Share ownership trust fund...
6 Reactions
99 Replies
19K Views
Mbunge wa Ukonga Jerry Slaa, amesema imefikia hatua Wabunge waanze kulipa kodi kupitia mishahara yao ili wapate uwezo wa kuwaambia Wananchi na wao walipe kodi. Silaa ameyasema hayo katika mkutano...
37 Reactions
164 Replies
17K Views
Wadau wa legacy leo tunalegacy yetu hapa Zanzibar inayotokana aliyekuwa rias wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa inayofanyika kwa mara ya pili na sasa inafanyika nchini Zanzibar kisiwani Unguja...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Yule jamaa ukiachilia kisasi na chuki aliyokua nayo kwa baadhi ya vitu na watu alikua raisi mzuri sana aliboresha hata utendaji serikalini. Sasa hivi document inatoka unaambiwa bado mtu 1 kusaini...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
SHAKA AKAGUA MIRADI PEMBA, AAHIDI CCM ITAWALINDA WABUNGE ,WAWAKILISHI NA MADIWANI. KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amekagua utekelezaji wa...
0 Reactions
2 Replies
804 Views
Kuondoka kwa hiari wafugaji wa jamii ya Kimasai kwenye Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro ni faida kubwa zaidi ya hasara kwa usalama wa mazingira yetu ambayo kila kukicha yanakosa uendelevu...
1 Reactions
2 Replies
541 Views
Hii ndio Tanzania unayo ijuwa Hayati baba wa Taifa huko kaburini ana wish afufuke aje awachape viboko. Taifa alilo lijenga na kuweka misingi yake limetumbukia zama mpya zama zinatisha kuliko zama...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Kuna harufu ya hujuma wwenye mifumo ya malipo ya serikali. Mwanzo ilifanya kazi. Sasa ni kazi sana kuitumia. Mimi nina siku nyingi sasa za kujaribu kulipa kodi za ardhi na gharama za maegesho kwa...
2 Reactions
4 Replies
858 Views
Wadau nimekuwa Nasikia TEAM JPM mara SUKUMA Gang je Hii TEAM JPM ni AKINA NANI? na Hii SUKUMA Gang nayo ni AKINA NANI?Ninachojua JPM alikuwa Mwanachama wa CCM ni Dhahiri hiyo TEAM JPM nao ni...
3 Reactions
41 Replies
4K Views
Degrii za heshima zimekuwa zikitolewa na vyuo mbalimbali duniani ili kutambua mchango wa mtunikiwa katika eneo husika. Hatuna shaka na utendaji wa utawala wa Benjamin mkapa katika kukuza na...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
CHONGOLO MGENI RASMI KIKAO CHA WAKUU WA SHULE ZA UMOJA WA WAZAZI TANZANIA- ASUBUHI HII. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo, Leo Ijumaa tarehe 15 Julai, 2022...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Imefika punde, Rais John Magufuli amemtimua kazi Mkurugenzi wa TRA kutokana na kashfa ya bandari iliyopelekea maofisa kadhaa kukamatwa huko. My take: Tuache muda uongee kasi ya JPJ Aliyekuwa...
9 Reactions
637 Replies
109K Views
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi na ziara yake Jimboni kwake kuendelea kusikiliza kero za Wananchi na kuzitatua, kusisitiza watu kujitokeza kwa wingi...
1 Reactions
2 Replies
679 Views
Habari za usiku wazee! Hayati Magufuli kwa kipindi cha miaka 6 ya uongozi wake kazidiwa na mwaka mmoja wa Samia katika kutoa ajira rasmi tena serikalini. Ila cha ajabu bado watu wanaendelea...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 13, 2022 amekutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar Es Salaam.
16 Reactions
58 Replies
8K Views
Trend ya kuwarudisha kazini either wastaafu, au watu walioachishwa kwa makosa mbalimbali ni kubwa sana. Awamu hii ya Mama nadhani inaenda kuweka record kule Guiness Book kwa kurudisha watu kazini...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Kupitia Gazeti la Raia Mwema limewataja baadhi ya wabunge wa chama cha Mapinduzi na walioukuwa Mawaziri wa awamu ya Tano. kuhusika na kile kinachoitwa Sukuma Gang. Majina ya Waliotajwa katika...
12 Reactions
59 Replies
7K Views
Mikataba 10 ya ujenzi wa viwanda vikubwa 500 vya kuchakata nafaka, kuuza na kununua mazao, ufugaji samaki, usafirishaji bidhaa kimataifa utakaokamilika mwaka 2025. Mikataba 9 ya uwekezaji wa eneo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hayati Magu miaka mitano kama 15. Spidi ya maendeleo aliyokuwa anaendanayo Hayati magu kwa miaka mitano ukilinganisha na miaka ya nyuma kabla hajawa Rais,unaweza kudhani alikaa miaka 10...
29 Reactions
100 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…