CHADEMA hakuna Demokrasia wala Maendeleo, ni Jina tu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,891
141,824
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Wameonesha Demokrasia gani iwapo hadi leo wako mahakamani wakibishania ubunge?
Wameleta Maendeleo gani iwapo hadi leo wanatumia kota ya wakazi maskini ya NHC kama Jengo la ofisi za makao makuu yao?
Nawashauri wabadilishe jina

Ni heri wajiite Chama Cha Wanaharakati ( ChaChaWa)

Mungu wa mbinguni awabariki sana
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema)
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , siungi mkono hoja, ila hii title, mwanzo nilidhani ni kama umeibilizia kwa copy and paste maneno haya

Chadema hakuna Demokrasia wala Maendeleo, ni Jina tu!​

Kutoka Bandiko langu hili Elections 2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu! ?
Wanabodi,

Preamble: Chadema ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo jina tuu, ila uendeshaji wake ni wa kidikteta wa hali ya juu!.

Paskali
Niliposoma kwa makini, nikukuta ni tofauti.
Angalia maneno yalivyo fanana

Chadema hakuna Demokrasia wala Maendeleo, ni Jina tu!- johnthebaptist

Chadema ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo jina tuu - Pascal Mayalla
P
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema)

Wameonesha Demokrasia gani iwapo hadi leo wako mahakamani wakibishania ubunge?

Wameleta Maendeleo gani iwapo hadi leo wanatumia kota ya wakazi maskini ya NHC kama Jengo la ofisi za makao makuu yao?

Nawashauri wabadilishe.jina

Ni heri wajiite Chama Cha Wanaharakati ( ChaChaWa)

Mungu wa mbinguni awabariki sana
Hiyo mimba ya CHADEMA itoe itakuuwa...
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema)

Wameonesha Demokrasia gani iwapo hadi leo wako mahakamani wakibishania ubunge?

Wameleta Maendeleo gani iwapo hadi leo wanatumia kota ya wakazi maskini ya NHC kama Jengo la ofisi za makao makuu yao?

Nawashauri wabadilishe.jina

Ni heri wajiite Chama Cha Wanaharakati ( ChaChaWa)

Mungu wa mbinguni awabariki sana
Wahi Buku 7 mapema hapo Lumumba
 
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) misingi yake ni UHURU na HAKI. Vile vile bila kuwa na WATU wanaoheshimu UHURU na HAKI basi CHADEMA haipo na haitakuwepo kamwe.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema)

Wameonesha Demokrasia gani iwapo hadi leo wako mahakamani wakibishania ubunge?

Wameleta Maendeleo gani iwapo hadi leo wanatumia kota ya wakazi maskini ya NHC kama Jengo la ofisi za makao makuu yao?

Nawashauri wabadilishe.jina

Ni heri wajiite Chama Cha Wanaharakati ( ChaChaWa)

Mungu wa mbinguni awabariki sana
Unapoteza muda mwingi sana kuandika Upumbavu
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema)

Wameonesha Demokrasia gani iwapo hadi leo wako mahakamani wakibishania ubunge?

Wameleta Maendeleo gani iwapo hadi leo wanatumia kota ya wakazi maskini ya NHC kama Jengo la ofisi za makao makuu yao?

Nawashauri wabadilishe.jina

Ni heri wajiite Chama Cha Wanaharakati ( ChaChaWa)

Mungu wa mbinguni awabariki sana
Jo bado unaandamana tu dhidi ya Chadema upo usemi kuwa kama huwezikupambana na adui Yako basi ungana naye upate amani ya roho, akili na utulivu wa kweli.🚶
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema)

Wameonesha Demokrasia gani iwapo hadi leo wako mahakamani wakibishania ubunge?

Wameleta Maendeleo gani iwapo hadi leo wanatumia kota ya wakazi maskini ya NHC kama Jengo la ofisi za makao makuu yao?

Nawashauri wabadilishe.jina

Ni heri wajiite Chama Cha Wanaharakati ( ChaChaWa)

Mungu wa mbinguni awabariki sana
hayo ni maoni yako, katiba inakuruhusu.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema)

Wameonesha Demokrasia gani iwapo hadi leo wako mahakamani wakibishania ubunge?

Wameleta Maendeleo gani iwapo hadi leo wanatumia kota ya wakazi maskini ya NHC kama Jengo la ofisi za makao makuu yao?

Nawashauri wabadilishe.jina

Ni heri wajiite Chama Cha Wanaharakati ( ChaChaWa)

Mungu wa mbinguni awabariki sana
Ni kweli kabisa chadema ni
65175781-crocodile-attack-wildebeest-in-the-mara-river-great-migration-kenya-tanzania-.jpg
 
Back
Top Bottom