Rais Samia: Hayati Mkapa ndiye bingwa wa Uchumi. Mifumo aliyoasisi ndio inayotumika sasa

Three best presidents of our lovely country:
01: Nyerere
02: Magufuli
03: Mkapa
MY LIST.
1.Nyerere sababu alituunganisha
2.Mkapa sababu aliukuza uchumi na kuweka mifumo
3.Kikwete sababu aliifungua nchi kimataifa
4.Jpm alikuwa msimamizi mzuri wa nidhamu ya utumishi na mjenzi hodari.
5.Mwinyi kwa sababu aliimarisha sekta binafsi kwa kuwaondolea wafanyabiashara woga.

ASANTE MUNGU KWA KUTUPA VIONGOZI HAWA.
 
Samia je?
 
Three best presidents of our lovely country:
01: Nyerere
02: Magufuli
03: Mkapa
I think you have got it wrong somewhere. Unfortunately we have not listed the indicators. Considering all aspects of good leadership, the ranking, starting with the best:

1) Late Julius Nyerere
2) Late Benjamin Mkapa
3) Jakaya Kikwete
4) Samia Suluhu Hassan
5) John Magufuli
6) Ali Hassan Mwinyi
 
MY LIST.
1.Nyerere sababu alituunganisha
2.Mkapa sababu aliukuza uchumi na kuweka mifumo
3.Kikwete sababu aliifungua nchi kimataifa
4.Jpm alikuwa msimamizi mzuri wa nidhamu ya utumishi na mjenzi hodari.
5.Mwinyi kwa sababu aliimarisha sekta binafsi kwa kuwaondolea wafanyabiashara woga.

ASANTE MUNGU KWA KUTUPA VIONGOZI HAWA.
Kwahiyo kabla ya Kikwete nchi ilikua imefungwa kimataifa msamaha wa deni la taifa ulifanyika awamu ya mkapa
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
I think you have got it wrong somewhere. Unfortunately we have not listed the indicators. Considering all aspects of good leadership, the ranking, starting with the best:

1) Late Julius Nyerere
2) Late Benjamin Mkapa
3) Jakaya Kikwete
4) Samia Suluhu Hassan
5) John Magufuli
6) Ali Hassan Mwinyi
Opinion accepted though samia is currently attepting to finalize Jpm Era, she must not be compared, her time for comparison is still on move towards destination.
 
Amesahau kuwa Mzee Mwinyi ndiye muasisi wa huu mfumo wa kibepari tuliokuwa nao hivi sasa
 
Kabla ya Kikwete nchi haikuwa na exposure kimataifa kibiashara.
Hapo ni sawa na kumlaumu mwinyi kwa nn kipindi chake hatukua na tehama. Au hatukua na smartphone.

Na ni sawa na kuipongeza serikali sasa kuja na EFD.
Muda unavyozidi kwenda ndio dunia inazidi kuwa kiganjani. Hata Raisi asingekuwa kikwete au Mkapa hayo yote yangetokea. Na hata Sasa Kuna mapinduzi makubwa ya Teknolojia yatatokea kwenye utendaji wa serikali
 
Kuna uwepo wa technology na kuna sera za nchi zinazoruhusu watu wake kuwa exposed na technology.
 
Back
Top Bottom