Ishi kinafiki na wanasiasa

Ishi kinafiki na wanasiasa

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Wanasiasa ni watu wa kubadilika badilika sana hasa akishafanikisha jambo lake.... Hasa hawa wanaoingia Bungeni ni shida sana hata kama ni ndugu yako. Ni watu wa kujisahau mno...

Yaani akiwa anapiga kampeni anaongea tofauti, akipata nafasi yake anabadilika sana kuanzia marafiki, team yake, maeneo ya kukaa, hadi line za simu anabadili!

Zile per diems 350k per day siyo issue ndogo, wanajisahau mno....

Yaani hata ukimwambia basi nikutanishe na mtu fulani, ni shida sana japokuwa hatumii hela kukutanisha na huyo kigogo...

Tabia zao zinafanana mno!

Kaa nae kinafiki hivyo hivyo, akigeuka unamng'onga ng'oooo[emoji84].

Katika harakati za kufanikisha mambo yako, usimtegemee mwanasiasa, utajuta!
 
Back
Top Bottom