Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Anthony Mavunde, leo Aprili 27, 2026 amewasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma, ambapo ameomba jumla ya tsh trilioni 174,983,580,000...
0 Reactions
1 Replies
193 Views
Wakuu, Akizungumza kwenye kongamano la UVCCM la kuadhimisha miaka 62 ya Muungano Rais Samia amesema huko tunapoendea mshikamano wa kitaifa unaendelea kupungua "Nimeacha neno mshikamano. Na hapa...
0 Reactions
7 Replies
394 Views
Sijui labda hamjitambui au labda hamjui mpo kwenye kitengo hicho kwaajili gani. Au ndio mmejimezesha ujinga na kuaminishwa na kujiona mpo kwaajili ya watawala.
1 Reactions
5 Replies
129 Views
Waziri wa Madini Anthony Mavunde akiwasilisha Taarifa ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2026/2027 leo Aprili 27, 2026 Bungeni Dodoma, amesema: "Tume ya Madini...
0 Reactions
0 Replies
136 Views
Kuna zoezi linafanyika la kuvunja majengo ya NHC pale Kariakoo . Sasa napata ukakasi kwamba yakishavunjwa hayo majengo ya Serikali bango linaonyesha anajenga jengo sio NHC tena kwa maana mmiliki...
3 Reactions
9 Replies
271 Views
  • Redirect
Hehehe! Hawajakosea kutuita nguchiro. Wanajua Nguchiro shughuli yake ni kuangamiza nyoka wote. Hehehe! Kazi ipogo
1 Reactions
Replies
Views
Tanzania whitewashes post-election massacre of thousands of protesters Kipchumba Ochieng President Samia Suluhu Hassan and her Chama Cha Mapinduzi (CCM) government has released a report into the...
1 Reactions
2 Replies
295 Views
Aprili 23, 2026, Jaji Chande alieleza kuwa atakutana na vyombo vya habari ili kufafanua zaidi ripoti aliyoiwasilisha kwa Rais Samia Suluhu Hassan. Alisema kuwa mambo mengi yaliyomo kwenye ripoti...
0 Reactions
2 Replies
174 Views
Hamjambo Wote! 1. Wakati nilipokuwa Mdogo nilisikia na kusoma sifa za watu Fulani ambao walipewa utukufu na sifa ambazo zingine zilikuwa sio za kawaida. 2. Wapo niliowasoma ambao walikuwa...
5 Reactions
12 Replies
212 Views
“Vita dhidi ya umasikini bado inaendelea, nikasema nitaisaidiaje Serikali kwa kidogo nilichonacho ili niwasaidie wenzangu, kuna vilio kila siku watu wanakopeshwa mikopo umiza, unakopeshwa Pikipiki...
1 Reactions
3 Replies
266 Views
  • Redirect
Waratibu walitumia mbinu mbalimbali ikiwemo kuwatumia watu wasio na ufahamu wa kina na vijana waliokata tamaa katika jamii. Walifanya hivyo huku wakihakikisha vitendo vya ghasia vinafanyika kwa...
1 Reactions
Replies
Views
Licha ya Kumshikilia Lissu, Bado Watanzania wamezidisha Mapenzi yao kwa CHADEMA Licha yaashambulizi meengi dhidi ya Viongozi wa CHADEMA , Wanachama , bado Watanzania ndo Kwanzaa wanazidi...
8 Reactions
5 Replies
193 Views
Guys guys Imagine hapa TAL Bado yupo jela lakini mwitikio bado ni mkubwa na unatisha hatari wamedhibitisha kweli ni chama kikuu Tanzania. Sipati picha Lissu awe huru hii chadema iko na MOTO 100...
10 Reactions
20 Replies
436 Views
Tume kazi yake ni kuweka mambo wazi, Kusema Ripiti ni ya Rais ndio ilizidi kuharibu kabisaa Maana ya Tume ni kuweka vitu vyote wazi, kufungua milango yote ya nyumba nzima na kuruhusu mwanga...
0 Reactions
0 Replies
174 Views
"Kama kila moja aliona kwamba anastahili kugombea hatunyimani nafasi...lakini kwamba hatukuona athari tuliona athari kwa sababu tulishakubaliana juu ya nafasi za kugombea ila ikawa ghafla sana...
10 Reactions
125 Replies
8K Views
  • Redirect
Yaan kwamba una Jeshi la Polisi, Una TISS , lkn bado Wananchi wako wanatekwa kwa sababu za Mapenzi na Kishirikina Yaan kwa Chande yeye, Ukitekwa kisa Mapenzi, au ushirikina , aaahhhhhh ni sawa tu...
4 Reactions
Replies
Views
Endeleeni na drama zenu huko Rumande. Sisi Veggies Twala MEMA ya uchaguzi. Tukutane 2030 panapo majaliwa.
2 Reactions
26 Replies
651 Views
Wanabodi Mimi mwenzenu mzee wa masauti wakati Watanzania na dunia tukiisubiri kwa shauku na hamu kubwa Ripoti ya Uchunguzi ya Jaji Chande, ambayo itaamua mustakabali mpya wa taifa letu la...
11 Reactions
33 Replies
661 Views
  • Redirect
Kwa kuzingatia sheria na kanuni zinazotawala maandamano ya amani kimataifa, kikanda na kitaifa pamoja na ushahidi uliowasilishwa mbele ya Tume, ni maoni ya Tume kuwa kilichotokea wakati na baada...
0 Reactions
Replies
Views
Watanzania sijui mna shida gani , Kuna familia nyingi mno zimetendewa vibaya sana na watawala na vyombo vya usalama, waliowatendea unyama wanajulikana lakini hakuna anaelipa kisasi. Uonevu...
13 Reactions
43 Replies
819 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…