Kuna mashaka majengo ya NHC Kariakoo yanauzwa

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,698
Reaction score
7,884
Kuna zoezi linafanyika la kuvunja majengo ya NHC pale Kariakoo .
Sasa napata ukakasi kwamba yakishavunjwa hayo majengo ya Serikali bango linaonyesha anajenga jengo sio NHC tena kwa maana mmiliki ni mwingine Swali langu haya majengo yanauzwa kwa utaratibu upi? na kwa nini yanauzwa?

20260427_083735.jpg
 
Kuna zoezi linafanyika la kuvunja majengo ya NHC pale kariakoo .
Sasa napata ukakasi kwamba yakishavunjwa hayo majengo ya serikali bango linaonyesha anajenga jengo sio NHC tena kwa maana mmiliki ni mwingine Swali langu haya majengo yanauzwa kwa utaratibu upi ??? na kwa nini yanauzwa??
View attachment 3580038
Huna haja ya kuwa na wasiwasi, huo ni ubia, NHC ametoa ardhi bure, in return atamiliki shares, developer anajenga na ku manage and operate, NHC anakuja kula kodi ambayo ni equivalent ya land value wakati wa mkataba.

Hivi ndivyo ilivyofanyika kwa jengo la Airtel pale Morocco, ni la UWCCM, Jengo la UVCCM pale Morogoro Rd, na majengo kibao ya NHC.

NHC japo ina assets kibao, haina uwezo to develop them!, hivyo inaingia ubia, mfano pale Kawe, lilipo kanisa la Mwamposa, ni kiwanja cha NHC cha iliyokuwa Tanganyika Packers, tutamshauri Rais Samia, aifutie NHC umiliki wa eneo hilo, kwa kuibatilisha hati yake, na badala yake wammilikishe Mwamposa, aneo hilo litakuwa na manufaa makubwa zaidi kwa taifa, kuliko umiliki wa NHC, kwasababu kwa sasa, kufuatia ibada za Mwamposa, eneo hilo limegeuka a town of its kind with lots of bussines around.

P
 
Mwamposa apangishwe au apewe ,can you be serious comrade

USSR
 
Aise Mayalla tusitaniane hapa ,tena wewe wakili msomi unatoa maelezo nonsense ,rudi tena kawaulize vizuri,unaleta mifano ya uvccm kuna todauti kubwa...
 
Kuna zoezi linafanyika la kuvunja majengo ya NHC pale Kariakoo .
Sasa napata ukakasi kwamba yakishavunjwa hayo majengo ya Serikali bango linaonyesha anajenga jengo sio NHC tena kwa maana mmiliki ni mwingine Swali langu haya majengo yanauzwa kwa utaratibu upi? na kwa nini yanauzwa?

Mimi kila siku hapa nawashauri mjiue ili kuepukana na haya maumivu lakini nyie ma "thed weld" dwellers wabishi hamsikii. Shauri zenu sasa endeleeni kuishi kwa maumivu.

adriz de mbusii
 
Time will tell
 
Huna haja ya kuwa na wasiwasi, huo ni ubia, NHC ametoa ardhi bure, in return atamiliki shares, developer anajenga na ku manage and operate, NHC anakuja kula kodi ambayo ni equivalent ya land value wakati wa mkataba.

Hivi ndivyo ilivyofanyika kwa jengo la Airtel pale Morocco, ni la UWCCM, Jengo la UVCCM pale Morogoro Rd, na majengo kibao ya NHC.

NHC japo ina assets kibao, haina uwezo to develop them!, hivyo inaingia ubia, mfano pale Kawe, lilipo kanisa la Mwamposa, ni kiwanja cha NHC cha iliyokuwa Tanganyika Packers, tutamshauri Rais Samia, aifutie NHC umiliki wa eneo hilo, kwa kuibatilisha hati yake, na badala yake wammilikishe Mwamposa, aneo hilo litakuwa na manufaa makubwa zaidi kwa taifa, kuliko umiliki wa NHC, kwasababu kwa sasa, kufuatia ibada za Mwamposa, eneo hilo limegeuka a town of its kind with lots of bussines around.

P
Client m/s Yell and NHC 😳! ?
 
Nafikiri hata ripoti imesema ufisadi ni chanzo cha......
 
Back
Top Bottom