Kipekee nichukue nafasi hii kuwapongeza viongozi wetu wa nchi kwa kazi kubwa mnayoendelea kuifanya kwa taifa.
Pili kama wanadamu wengine nyinyi nyote mnamapungufu yenu kama binadamu wengine,ni...
Waziri wa mambo ya nje wa Urusi mh Lavrov ameongea jambo la msingi sana kuhusu utegemezi wa Afrika kwa Ulaya
Hebu fikiria jinsi Tanzania tulivyo na kila kitu lakin bado tunaamini Wazungu ndio...
Sina mengi ni kuanzia saa kumi jioni. Japo wadau wengi hawana imani tena baada ya kupitia uzoefu fulanifulani zilizo tolewa ufafanuzi kupitia ofisi ya Waziri Mkuu.
===
Aliyoyazungumza waziri...
Get well soon former President Ally Hassan Mwinyi.
Binafsi namkubali sana huyu mzee alipokea madaraka nchi ikiwa katika hali ngumu sana kiuchumi na kimahusiano duniani lakini alituvusha.
Mungu...
Ajue kuwa yeye anamsafara wengine hawana msafara huo traffic kuwepo kila mahala haimanishi ni kero kwa madereva lengo lao ni kuzuia ajali barabarani mimi nionavyo kama ameona ni kero barabaranu...
Bado sijamsoma vizuri Rais wa sasa
Lakini awamu zilizopita:
Nyerere alimpenda zaidi Kawawa akifuatiwa na Amir Jamal
Mwinyi alimpenda zaidi Diria akifuatiwa na Prof Kighoma Malima
Mkapa...
Ndg wana jukwaa,
Nyerere ndo alikuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa Tanzania akifuatiwa na Kawawa, katika vpindi vyote vya utawala tumeshuhudia Mawaziri Wakuu wengi mpaka leo tuna Kassim Majaliwa...
Ni muda sasa nimekua nikitatilia kwa kina habari mbalimbali hapa jamiiforum na baadae jioni huwa naangalia kwenye vyombo balimbali vya habari ili kujirithisha,likini tangu uchagzi wa arumeru...
Hakuna shaka ubovu wa vyombo vya usafiri una mchango mkubwa katika ajali zinazotokea nchini ikiwemo iliyochukua uhai wa watoto wa shule hapo majuzi.
Nashauri wizara husika ipeleke mswaada...
Julai 29, 2022 Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA amezungumza na Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu, Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Dar es salaam.
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema: “Taarifa za ufuatiliaji wa ugonjwa huu kutoka kwa wataalam wetu walioko Mkoani Lindi zinaonesha kuwa toka tarehe 18 Julai 2022 hadi sasa hakuna mgonjwa mpya...
Ewe Msaliti uliyehujumu Chadema na Wananchi waliokupa Uongozi , iwe Uongozi wa Kijiji , serikali za mitaa , udiwani , ubunge ama uongozi wowote ule kwa vile uliahidiwa Ukuu wa Mkoa , au Ukuu wa...
IKUNGI-SINGIDA
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kuna taarifa kutoka jimbo la Singida Mashariki mkoani Singida kwamba Mbunge wa jimbo hilo Miraji Mtaturu ameshirikiana na baadhi ya viongozi wa...
Nliwahi waambia watu flani Nape wala Makamba hawajawahi kuwa smart. Ila waliokuwa wanadhani hao watu ni smart wao ndo hawakuwa smart.
Ilishangaza sana kuna watu kabisa wakaanza na kumpigia debe...
Serikali imesema nyongeza ya mishahara 23% iliyotangazwa mwaka huu 2022, inawalenga watumishi kati asilimia 75 hadi 78 wanaopokea mishahara midogo, na siyo wenye mishahara mikubwa kama vile...
Karibu
Spika Ndugai amesoma Katiba kuelezea namna Waziri Mkuu anavyopatikana.
Chanzo: ITV
========
Mpambe wa Rais tayari kawasili kwenye ukumbi wa bunge akisindikizwa na askari wa bunge akiwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinanana amemshauri Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camilius Wambura kufanya tathimini ili kuona...
Pamoja na kwamba uuzaji wenyewe wa Nyumba haukuwa na mantiki, lakini ni kwa nini na wanasiasa wa CCM nao waliuziwa nyumba za serikali? Kwani wao ni wafanyakazi wa serikali?
Kama lengo lilikuwa ni...