Kwa nini CCM waliamua kujiuzia nyumba za serikali.

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,300
33,919
Pamoja na kwamba uuzaji wenyewe wa Nyumba haukuwa na mantiki, lakini ni kwa nini na wanasiasa wa CCM nao waliuziwa nyumba za serikali? Kwani wao ni wafanyakazi wa serikali?

Kama lengo lilikuwa ni kuwasaidia wafanyakazi wa serikali wanapostaafu wawe na makazi ya kudumu, Mbona Askari Polisi, Askari Magereza, Wanajeshi, Waalimu, wao hawakuuziwa nyumba walizokuwa wanaishi wengine walipouziwa nyumba za serikali?
 
MAFISADI wakiamua Watanzania hatuna la kufanya kuna Mzee fulani alizigawa na kuhonga hawala zake
 
Back
Top Bottom