Ndg wana jukwaa,
Nyerere ndo alikuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa Tanzania akifuatiwa na Kawawa, katika vpindi vyote vya utawala tumeshuhudia Mawaziri Wakuu wengi mpaka leo tuna Kassim Majaliwa.
Kwa maoni yako nani alkuwa Waziri Mkuu mzuri, nyuma ya Edward Sokoine ambaye kwa sisi wa late 1980s tunaambiwa ndo alikuwa the best ingawa alitolewa na kurudishwa tena 1982 na kufariki 12 april 1984 kwa ajali ya gari.(i stand to be corrected).
Toa sababu za jibu lako.
Naomba kuwasilisha