Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanachama Saba wa Chadema wa Mkoani Songwe waliobambikiwa Makosa ya uongo wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020, yaliyotengenezwa kinafiki na watu waoga walioshindwa hoja za majukwaani, na kurundikwa...
22 Reactions
79 Replies
6K Views
Tarehe 16 Mwezi August mwaka 2012 palitokea mauaji ya wachimba madini 34 huko Jimbo la wonderkop kaskazini magharibi mwa Afrika Kusini. Polisi walitumia nguvu kubwa kuwazuia waandanamaji...
1 Reactions
1 Replies
477 Views
Makamu wa Rais Dr Mpango amefungua maonesho ya Wakulima ya Nanenane na kuwataka Waziri wa Biashara aje kuungana na Waziri Bashe ili kwa pamoja wawaelimishe Wakulima. Katika ukaguzi huo wa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Baadae mwezi huu,Jumanne ya August 23 kutafanyika tukio kubwa, la kihistoria na lililobeba mustakabali wa maendeleo yetu. Baada ya miaka 10 kupita,Sensa ya watu na makazi ya mwaka huu itakuwa ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mdude Nyagali Twitter: Niliongea juzi kwamba kwa mujibu wa katiba iliyopo inampa Rais nafasi ya kuteua watu zaidi 2000 kwenye nafasi mbalimbali. Fikiria juzi katoka kumteua mtu kuwa mkuu wa mkoa...
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Muungwana ni vitendo na wala siyo kulazimisha ushindi. Ccm imekuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 60 ya uhuru wa taifa letu. Lkn bado baadhi ya viongozi wake huwa hawapendi kusikia neno kushindwa...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeshuhudia utendaji wa Komredi Kinana tangu enzi za awamu ya kwanza ya Mwalimu Nyerere Itoshe tu kusema huyu jamaa ni Kiongozi tena mwenye maono makubwa Akigombea Urais wa JMT kura yangu anayo!
2 Reactions
68 Replies
4K Views
Kama wote tutakuwa sawa chini ya sheria na hakuna hata mmoja atakayekuwa juu ya sheria hiyo ndiyo itakapokuwa nchi yenye misingi ya kisheria. Sheria inatakiwa imuhusishe kila mtu ndani yake...
0 Reactions
2 Replies
861 Views
Mara tu baada ya kuvuliwa uanachama, Halima Mdee na wenzake walitinga mahakamani na kufungua kesi na mmoja wa walalamikiwa ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Chadema wanapinga NEC kushitakiwa...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Binafsi nimpongeze mama yetu Rais wa JMT Samia Suluhu Hassan kwa kuanza kazi vizuri na kikubwa zaidi alichonifurahisha ni kuwataka viongozi katika Serikali yake kutumia akili katika kuongoza watu...
3 Reactions
32 Replies
6K Views
Serikali haikupaswa kutaja kima cha chini 23.3% nyongeza za mishahara. Ndiyo maana baada ya kutoka mshahara wa July 22 ilionekana ni msiba kwa watumishi baada ya kuona hizo elfu 10, elfu 20, elfu...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Maneno haya yalizungumzwa na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria akizungumzia hayo katika Mkutano wa Miaka 30 ya Demokrasia ya Vyama Vingi. Mkutano uliohudhuriwa na baadhi ya viongozi wa serikali...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jana tulikuwa hapa mkoani Manyara kwenye kongamano la katiba. Tumepata mwitikio mkubwa sana kutoka kwa wana Manyara na hili ni thibitisho kuwa watanzania wanahitaji katiba mpya. Pili inaonyesha...
3 Reactions
5 Replies
707 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewataka wahitimu wa Kozi ya Usalama na Stratejia kuyatumia kwa vitendo maarifa waliyoyapata katika Chuo...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwanzoni mwa miaka 2012 hadi 2015 jina la Januari Makamba lilikuwa na mvuto mkubwa kwenye umma hasa mitandaoni na hata wengi tuliamini anafaa kwa nafasi ya Urais kama ambavyo aliingia kwenye...
6 Reactions
39 Replies
3K Views
Kwa miaka zaidi ya thelasini CCM imekuwa ikifanya kila iliwezalo kusiwe na chama kingine cha siasa nchini Tanzania. Lakini juhudi hizo za CCM dhidi ya vyama vingine kumbe zilitakiwa zifanywe dhidi...
18 Reactions
50 Replies
3K Views
Habari JF, Kwa kusema ukweli kila mwananchi mzalendo alifurahiswa na kasi ya utendaji kazi wa aliyekuwa mkuu wa Mkoa Simiyu David Kafulila. Hivyo hizi ndizo tafsiri 3 za kukosekana kwake ni...
5 Reactions
39 Replies
4K Views
Sina uhakika kama nitaweza kuielezea mada hii vizuri ila nianze kwa kusema kuwa nimefuatilia muundo wa jamii ya kitanzania, nimegundua unaweza kutugawanya katika makundi mawili kulingana na...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu alifanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa na makatibu tawala wa mikoa ambapo tumeshuhudia baadhi ya sura mpya, wengine wakihamishwa lakini kuna ambao wamepewa mkono wa kwaheri...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuna fikra za baadhi ya watu wanaotamani itokee siku moja "makosa" ya kimtazamo na kiutendaji ya Hayati John Magufuli, aliyekuwa Rais wa Tano wa serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania...
34 Reactions
300 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…