Siku CCM ikifa Tanzania itainuka

Siku CCM ikifa Tanzania itainuka

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,701
Reaction score
49,969
Kwa miaka zaidi ya thelasini CCM imekuwa ikifanya kila iliwezalo kusiwe na chama kingine cha siasa nchini Tanzania. Lakini juhudi hizo za CCM dhidi ya vyama vingine kumbe zilitakiwa zifanywe dhidi ya CCM yenyewe.

CCM ndiyo chama pekee kilichokuwa madarakani tangu Tanganyika ipate Uhuru na Zanzibar ifanye mapinduzi. kwa ivo kila baya unaloliona linatendwa na serikali ya Tanzania jua linatendwa kwa kuwa CCM iko madarakani.

Siku CCM isipokuwa madarakani ndipo Tanzania itainuka kiuchumi, kijamii, kimataifa na kwenye kila kitu kilichokwamishwa na uovu wa CCM.
 
Kwa miaka zaidi ya thelasini CCM imekuwa ikifanya kila iliwezalo kusiwe na chama kingine cha siasa nchini Tanzania. Lakini juhudi hizoza CCM dhidi ya vyama vingine kumbe ilitakiwa ifanywa dhidi ya CCM yenyewe.

CCM ndiyo chama pekee kilichokuwa madarakani tangu Tanganyika ipate Uhuru na Zanzibar ifanye mapinduzi. kwa ivo kila baya unaloliona linatendwa na serikali ya Tanzani jua linatendwa kwa kuwa CCM iko madarakani.

Siku CCM isipokuwa madarakani ndipo Tanzania itainuka kiuchumi, kijamii, kimataifa na kwenye kila kitu kilichokwamishwa na uovu wa CCM.
[emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]
 
Ona haya maajabu
 
Attachments

  • 20220623_070853.jpg
    20220623_070853.jpg
    84.1 KB · Views: 13
  • 20220517_190009.png
    20220517_190009.png
    82.4 KB · Views: 17
Pamoja na maovu ya CCM na ukweli kwamba ndiyo chanzo Cha umasikini Tanzania lakini kama nchi tumekosa chama mbadala Cha kuongoza nchi badala ya CCM.Chadema ni chama Cha kisiasa lakini hakina sura ya umoja wa kitaifa .Pamoja na CCM kuwa chama chakavu lakini Bado kina sura ya kitaifa ya kuliunganisha Taifa.Taifa ni zaidi ya Nchi tukumbuke Hilo.Kwa Mana hiyo CCM ipo madarakani hadi 2035 kwa Tanzania hatuna chama chenye umoja zaidi ya CCM.
 
Kwa miaka zaidi ya thelasini CCM imekuwa ikifanya kila iliwezalo kusiwe na chama kingine cha siasa nchini Tanzania. Lakini juhudi hizo za CCM dhidi ya vyama vingine kumbe zilitakiwa ifanywe dhidi ya CCM yenyewe.

CCM ndiyo chama pekee kilichokuwa madarakani tangu Tanganyika ipate Uhuru na Zanzibar ifanye mapinduzi. kwa ivo kila baya unaloliona linatendwa na serikali ya Tanzania jua linatendwa kwa kuwa CCM iko madarakani.

Siku CCM isipokuwa madarakani ndipo Tanzania itainuka kiuchumi, kijamii, kimataifa na kwenye kila kitu kilichokwamishwa na uovu wa CCM.
CCM ndiyo inayolididimiza taifa katika lindi la umaskini. Mchawi hapa ni CCM.
 
Mwenyezi Mungu aendelee kunijalia afya na uzima tele ili niishuhudie hiyo siku kwa kweli.

Maana mpaka kesho naamini kungekuwepo na utaratibu wa kupokezana madaraka kwa njia amani, basi nchi yetu ingepiga hatua kubwa sana kwenye nyanja za kisiasa na kiuchumi.

Kitendo cha ccm kutawala nchi kwa muda mrefu, kumewageuza kuwa miungu watu! Na pia kujiona kama viumbe pekee wenye haki ya kuitawala nchi yetu, hata pale walipoonekana hawana sifa hiyo! Basi tume ya uchaguzi na polisi wetu waliwabeba.
 
Kwa miaka zaidi ya thelasini CCM imekuwa ikifanya kila iliwezalo kusiwe na chama kingine cha siasa nchini Tanzania. Lakini juhudi hizo za CCM dhidi ya vyama vingine kumbe zilitakiwa zifanywe dhidi ya CCM yenyewe.

CCM ndiyo chama pekee kilichokuwa madarakani tangu Tanganyika ipate Uhuru na Zanzibar ifanye mapinduzi. kwa ivo kila baya unaloliona linatendwa na serikali ya Tanzania jua linatendwa kwa kuwa CCM iko madarakani.

Siku CCM isipokuwa madarakani ndipo Tanzania itainuka kiuchumi, kijamii, kimataifa na kwenye kila kitu kilichokwamishwa na uovu wa CCM.
Na kufa haipo na Wala hakuna anaetaka kinuke bali watu wanataka Katiba mpya
 
Sio rahisi kwa sababu Katiba mpya ina kipengele cha Serikali ya Mseto kulingana na idadi ya kura yaani hakuna ile inaitwa simple majority,sasa hakuna Chama hapa Tanzania cha kuishinda ccm per say ,hakipo hata uchaguzi uwe fair kabisa.
umetumia mantiki gani kufikia kwenye hitimisho hili??
 
Mantiki zipo nyingi tuu,hapa Tanzania hakuna upinzani bali wachumia tumbo kama ccm hao hao wanaoshutumiwa ndio maana walipolambishwa asali walikacha njaa huko upinzani..

Pili kitanuka kiaje wakati tayari Katiba itaweka msingi wa uongozi na haki sasa wewe unasemaje kitanuka?

Mwisho CCM ina mbinu nyingi Sana za kushinda na ieleweke kwamba Katiba mpya haibadili hulka za watu Wala haitaleta ile inaitwa overhaul.
 
Unaona CCM na wapinzani wanafanana lakini linapokuja suala la kushinda unaona ni LAZIMA CCM ishinde kwa kuwa ina mbinu nyingi. jee hizo "mbinu nyingi" ni halali na Katiba mpya haiwezi kuzizuia au kuziondoa?

wapinzani ni wachumia tumbo. Jee CCM wao siyo wachumia tumbo?
 
Unaona CCM na wapinzani wanafanana lakini linapokuja suala la kushinda unaona ni LAZIMA CCM ishinde kwa kuwa ina mbinu nyingi. jee hizo "mbinu nyingi" ni halali na Katiba mpya haiwezi kuzizuia au kuziondoa?

wapinzani ni watumia tumbo. Jee CCM wao siyo watumia tumbo?
Umenena vyema, Eti Leo CCM wanataka mseto kuhofia kupotea Kwa ramani.

Sie hatutaki mseto,

RASIMU alosimamia Judge WARIOBA irudi mezani mjadala uanzie hapo.

CCM haitakufa Bali ITAJIUA Kwa maslah ya Taifa.

Ameeen
 
Kwa miaka zaidi ya thelasini CCM imekuwa ikifanya kila iliwezalo kusiwe na chama kingine cha siasa nchini Tanzania. Lakini juhudi hizo za CCM dhidi ya vyama vingine kumbe zilitakiwa zifanywe dhidi ya CCM yenyewe.

CCM ndiyo chama pekee kilichokuwa madarakani tangu Tanganyika ipate Uhuru na Zanzibar ifanye mapinduzi. kwa ivo kila baya unaloliona linatendwa na serikali ya Tanzania jua linatendwa kwa kuwa CCM iko madarakani.

Siku CCM isipokuwa madarakani ndipo Tanzania itainuka kiuchumi, kijamii, kimataifa na kwenye kila kitu kilichokwamishwa na uovu wa CCM.
Point tupu
 
Nafurahia sasa maana Ule ubishi wa kipumbavu wa ushindani kati ya MAMA na JIWE unayeyuka.

Adui namba MOJA ni CCM, maana ndani yake ndimo kuna magenge ya kiharamia yanayotukwamisha kama NCHI.

Ameeeen.
 
Back
Top Bottom