Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,318
Muungwana ni vitendo na wala siyo kulazimisha ushindi.
Ccm imekuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 60 ya uhuru wa taifa letu.
Lkn bado baadhi ya viongozi wake huwa hawapendi kusikia neno kushindwa kwenye uchaguzi.
Hii ndiyo inafanya ccm kuendelea kulaumiwa na wananchi na kuendelea kuwakandamiza wapinzani.
Tazameni jinsi wanavyo pigana wenyewe kwa wenyewe kwenye chaguzi zao za ndani ya chama.