Wana CHADEMA hatulali, tunaimarisha chama chetu

Wana CHADEMA hatulali, tunaimarisha chama chetu

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,266
Reaction score
98,318
Jana tulikuwa hapa mkoani Manyara kwenye kongamano la katiba.

Tumepata mwitikio mkubwa sana kutoka kwa wana Manyara na hili ni thibitisho kuwa watanzania wanahitaji katiba mpya.

Pili inaonyesha kuwa bado watu wana mapenzi makubwa na siasa za upinzani hasa kwa chama chao CHADEMA.

Watanzania tuiunge mkono CHADEMA ili watuvushe ili kuipata katiba hitajika.
 
Siku nikiwa Raisi nitakivunjavunja hiko chama ndani ya siku 3. Muda utasema
 
Back
Top Bottom