Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeamini kuwa chama ndiyo kinashika hatamu hapa nchini. Kufuatia ushauri wa Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Kinana kwa Polisi kupunguza idadi ya Askari wa Traffic barabarani. Leo hii Polisi...
10 Reactions
260 Replies
17K Views
Samahani lakini nyie bavicha Lengo la bandiko Hili ni kuwataka Vijana wote wawe wazalendo na wasimamie kweli badala ya kutumika kama vuvuzela za Wanasiasa uchwara Mungu wa mbinguni awapeni Ujasiri
0 Reactions
15 Replies
885 Views
Hawa ni miongoni mwa Mawaziri wachapakazi na muda wote wanaonekana site kutatua changomoto za zinazowakabili wananchi na kusimamamia miradi inayotekelezwa chini ya Wizara zao. Waziri wa Maji...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
"ALEXANDER MNYETI" sio jina geni katika siasa ya Tanzania. Wengi wanakumbuka ugomvi wake mkubwa na waandishi wa habari mkoa wa Arusha wakati akiwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru ambapo chanzo...
10 Reactions
72 Replies
9K Views
Serikali imetangaza kununua umeme kwa wawekezaji Chanzo: ITV Tanzania/ facebook -------- Waziri wa Nishati, January Makamba na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wametumia jukwaa moja kutoa majibu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hotuba fupi aliyoitoa Waziri Mkuu Edward Lowassa katika bunge mjini Dodoma (Alhamisi Feb. 7, 2008) wakati wa mjadala wa taarifa ya kamati teule ya bunge iliyochunguza mchakato wa Zabuni ya...
3 Reactions
22 Replies
20K Views
Na Chacha Wangwe Jr Ujio wa Rais wa Zambia nchini Mh.Hakainde Hichelema ni muendelezo wa uthibitisho wa kazi kubwa iliyofanywa na inayoendelea kufanywa na Rais Samia Suluhu katika kuhakikisha...
1 Reactions
6 Replies
740 Views
Nimefuatilia biashara anayoifanya Makamba kanda ya ziwa, kugawa mitungi ya gesi kwa wananchi na sijatambua kama biashara hiyo ni endelevu. Iwapo mitungi hiyo gesi itaisha ni nini hatma ya mradi...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Baada ya namba moja kusema imekwisha wenye hekima waliona mbali nakujuwa kazi ipo mbele maana chuma kimelala. Wajuvi wamambo waka angalia mwendo wa dereva na aina yagari alikuwa akiendesha...
36 Reactions
127 Replies
11K Views
Uteuzi wa wamama hawa wawili unadhihirisha tatizo kubwa la Mamlaka ya Urais wa Kisultani hapa Tanzania. Miaka yote Marais wetu wamekuwa wakigawa nafasi za URC na UDC kwa marafiki , maswahiba na...
14 Reactions
49 Replies
8K Views
Wakuu tuendelee kuchapa Kazi.. Naomba kuuliza hivi kutamka maneno kama hayo inakuwa ni kuhofia kutumbuliwa au kuna kingine? Haya maneno yalikuwa yanatamkwa Sana kumpamba Jiwe sasa sijui kama na...
2 Reactions
7 Replies
706 Views
Hakika, Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni! Ni ile kauli ya Mama Anaupiga Mwingi usidhani ni msemo tu, sasa hebu tazama jinsi Mama alivyoweka historia katika maslahi ya watumishi wa umma ndani ya...
12 Reactions
44 Replies
4K Views
Kwa mwezi mzima napokea SMS 10 hadi 15 kwenye simu yangu kwa siku zinazosomeka hivi: " ndugu Shitunguru Bunzali Joseph Umefanikiwa kupata chanjo ya UVIKO- Janssen. Unaweza kuangalia cheti chako...
8 Reactions
31 Replies
4K Views
Gazeti la Raia Mwema limeripoti Kauli ya Rais wa Tanzania wakati wa Uapisho wa Wakuu wa Mikoa , na limenukuu kauli yake kwamba, Wakuu wa Mikoa ni mwanzo tu, Maana "KUNA MKEKA MWINGINE UNAKUJA HIVI...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Pesa za umma zinakaa kwenye akaunti muda mrefu watendaji wake hawajui pesa hizo zinatakiwa ziende kwenye miradi iliyokusudiwa ni kuwaza waziibe vipi ndiyo maana inafikia Wakuu wa Wilaya wanavutana...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Viongozi wa Umma tatueni kero halisia zinazokabili wananchi sio mpaka akina Kinana au Raisi wawaambie mumeajiriwa kutatua kero Ina maana huko maofisini kazi yenu nini kama sio kutatua na...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Mkiambiwa chama kipo kwa mwenye nacho mnajidai kuwa chawa mkumbukwe! Kwanza mjue kabisa Samia na kundi lake hawana mipango na nyinyi watu wenye nasaba na Magufuli iwe kwa maeneo mtokayo nk...
9 Reactions
97 Replies
12K Views
Ni pendekezo tu Putin ameifikisha dunia pabaya ni lazima sasa tuwe na taasisi imara inayoshughulikia Uchumi wa nchi Sabato njema
2 Reactions
41 Replies
2K Views
01 Agosti 2022 Rais kupunguziwa madaraka siyo inamfanya kuwa dhaifu bali inampa uimara. Uwiano mihimili ya dola: bunge, mahakama na serikali kuu / legislative, executive and judicial . Teuzi...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…