Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni matumaini yangu mu wazima..!? Hizi wilaya zetu pamoja na changamoto za miundombinu ya barabara kuna ulazima wa viongozi wa kitaifa kufanya ziara ikiwezekana mara baada ya mara. Lakini hali...
11 Reactions
193 Replies
16K Views
Mawaziri wetu wako kazini kila mmoja kwa nafasi yake na kipawa chake alichojaliwa na Mungu Tuweke orodha ya mawaziri wachapakazi ambao kazi zao zinaonekana kwa matokeo kwa Wananchi kutokana na...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
najua wafanyakaz wengi mtakuwa mmepata nafasi ya kisimamia sensa 2022 chonde chonde sensa ni kwa ajili ya kupanga maendeleo yetu wenyewe ni kama jicho la serikali kujua wapi wapeleke nini najua...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Sisi wenye vigezo stahiki tumefanyiwa maagizo ya usaili hapa kata ya kivule wilaya ya Ilala na kufutiliwa mbali wakati namba 174. Yusuph Nyansika Getema (mtoto wa Diwani kata ya kivule) mwenye...
14 Reactions
76 Replies
7K Views
Serikali ya kizalendo kama hii ya CCM inayoongozwa na Rais Samia muda wote iko kazini " hakuna kulala" Nimpongeze tu mh Rais Samia kwa kumtumikia usiku na mchana Pia niwape angalizo Wasaidizi...
16 Reactions
88 Replies
7K Views
Ahh nawasalimu, Tuendelee kupambana na bei za mafuta na wafanyakazi tuendelee kusaga meno kwani yalishawahi semwa ' tutasagia meno na tutaishi kama mashetani'. Hicho ni kibwagizo tu ila sio nia...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Nakumbuka Baba wa Taifa Mwal. Nyerere, miaka ya 70, Wabunge walitaka kujiongezea mishahara. Akauliza “Nchi hii masikini, mnaotaka wawape mishahara mikubwa ni wananchi masikini, watatoa wapi...
21 Reactions
70 Replies
5K Views
Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema, leo Agosti 3, 2022
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila akihojiwa na Ayo TV amekuwa na haya ya kusema juu ya kupungua kwa rushwa Tanzania kisayansi,Msikilize Kafulila anasema,Ripoti ya kimataifa ya kupambana...
13 Reactions
143 Replies
9K Views
[emoji1241] Suala la balance baina ya jeshi, Serikali na Siasa ni kitendawili kwa mataifa mengi duniani na kwa Tanzania pia. Nchi yetu haifuati yeyote kati ya modeli tatu maarufu dunian na badala...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Ushiriki wa umma katika masuala ya kisiasa na kidemokrasia hauishii kwenye kufahamu tu yanayoendelea, bali wanaoathiriwa na maamuzi wana haki ya kushirikishwa kisawasawa katika mchakato wa kufanya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Serikali imepanga kuzalisha zaidi ya ng’ombe 300,000 kwa njia ya uhawilishaji ili kuongeza ubora wa mifugo na tija kwenye uzalishaji pamoja na kupunguza migogoro ya ardhi baina ya wakulima na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
I mean, WTF!!! Huu ukomandoo Tanzania uko overrated sana. Sasa kwa mfano hawa makomandoo wa Mbowe bila silaha wanaweza nini? Kwa muonekano tu, hakuna hata mmoja mwenye uzito wa ratili 200. Not...
10 Reactions
115 Replies
12K Views
Kwenye Katiba ya CCM, ibara ya 88 (1)(d), inasema hivi, nanukuu "MKUU WA MKOA WA SERIKALI INAYOTOKANA NA CCM NI MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM YA MKOA ALIOPO" , mwisho wa kunukuu. Maana yake ni...
23 Reactions
68 Replies
6K Views
Mbiiu la mgambo lishaliaa. Tarumbeta la parapanda lishalia.. Je watanzania tupo kuingia chaka kwa mara nyingine tena? Hapa naongelea tuwe wapambe wa masuperpower wapi wale wa west au wale wa...
0 Reactions
1 Replies
658 Views
Kwa mantiki ile ile kuna baadhi ya Wilaya hadi tulijiuliza hivi kuna Wajasiriamali wengi kiasi hicho?! Unasikia tu vimeletwa Vitambulisho laki 2 hapa wilayani na vimeisha vyote lakini ukiangalia...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Asichukuliwe poa kwani kitendo alichofanya ndugu Chalamila kina kila dalili zote kuwa sio cha bahati mbaya na hayuko peke yake. Maongezi yake ukiyasikikiza vizuri yana kila dalili kuwa...
10 Reactions
38 Replies
7K Views
Hotuba iliyotolewa na Mh. Rais wakati wa kuwaapisha viongozi mapema siku ya jana ni muendelezo wa kasi yake katika kuhimiza utendaji wenye tija kwa watumishi wa umma. Baadhi ya mambo yanayohimizwa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Afisa mmoja wa Umoja wa Mataifa amewaambia waandishi wa habari kuwa askari walinda amani wa MONISCO waliokamatwa siku ya jumapili ni kutoka Tanzania, wamekamatwa kupisha uchunguzi wa mauaji ya...
5 Reactions
61 Replies
7K Views
Kama ilivyo kwa nchi jirani ambazo zina utaratibu wa kujulisha wananchi wao utaratibu wa utoaji wa mafao ya pension kwa Marais wao wastaafu, jambo ambalo ni tofauti kwa nchi ya Tanzania. Kwa...
12 Reactions
17 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…