DustBin
JF-Expert Member
- Jun 3, 2021
- 544
- 558
Ni matumaini yangu mu wazima..!?
Hizi wilaya zetu pamoja na changamoto za miundombinu ya barabara kuna ulazima wa viongozi wa kitaifa kufanya ziara ikiwezekana mara baada ya mara. Lakini hali ikiwa hivi kama ilivyo huko wilayani Liwale inaleta shida katika utendaji wa baadhi ya watumishi wa ngazi za juu katika halmashauri. Hufanya kazi kiholela kwa kujua viongozi hawawezi fika huko...!
Jambo hili ni huko Liwale tu au kuna wilaya zingine zina changamoto hii??