Habari za leo,
Gazeti la The Citizen limeandika makala kuhoji busara iliyotumika kuamua kujenga SGR Wakati tafiti za Kitaalamu zinaonesha tutapata Hasara?
Kwa mujibu wa WB Ili reli ilete faida...
NHIF kwa sehemu kubwa imekuwa ni imehodhi utoaji wa Huduma za Bima za Afya kwa Tanzania. Kwa bahati mbaya sana, serikali kwa mkono mwenyewe imekuwa ikiipa kiburi NHIF kwa kufanya kila namna kuua...
Naamini umeona taarifa mbalimbali mitandaoni kuhusu kubadilika utaratibu wa Bima za Taifa za Afya.
Tunaomba ufafanuzi wa Wizara tafadhali kwa sababu mjadala unaoendelea mitandaoni hauna afya kwa...
Rais Samia Suluhu Hassan leo amepokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum kutoka kwa CAG inayohusu matumizi ya fedha zilizotolewa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuanzia Januari hadi Machi 2021. Ripoti...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpokea Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Rais Hichilema amekuja nchini kwa...
Moja kati ya mambo yanayofanya uongozi wa nchi yoyote upendwe ni jitihada za wazi za kustawisha maisha ya wananchi, kutatua kero zao na kutekeleza maono yenye dhamira njema na maisha ya watu...
Kuna malalamiko makubwa kutoka kwa waendesha Bodaboda na Bajaji walioshiriki kikao baina ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Antony Mtaka kuhusiana na hamasa ya sensa lakini awali wakati wanajiandisha...
Leo nimelikumbuka bunge la spika Sitta la mwaka 2005-2010.
Lilikuwa ni bunge la aina yake. Matukio mengi sana yalitokea katika bunge lile mpaka likagharimu nafasi ya hayati Sita kama Spika wa...
Wakati anaapisha baadhi ya viongozi Mh. Rais Samia alimshushia sifa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Joan Kataraiya. Ikumbukwe huyu ni miongoni mwa mabinti wadogo kabisa...
Wafanyabishara wa samaki waliondolewa katika soko la Manyema kwenda Pasua Manispaa ya Moshi wamemlilia katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo wakitaka warejeshwe soko lao la...
Poleni watumishi wa umma kwa vifijo na ndelemo za kusifu na kuabudu mlizompa samia kwa kusema anaupiga mwingi hii naikumbuka mei mosi mwaka huu ambapo kila kukicha mlikuwa mkisema anaupiga mwingi...
Serikali kupitia Wizara ya afya imesema kuwa Mpaka sasa hakuna mgonjwa aliyetambulika na kuthibitika kuwa na ugonjwa homa ya nyani (Monkeypox) hapa nchini.
Kauli hiyo imebainishwa na Mganga Mkuu...
Ujio wa Rais wa Zambia nchini Mh.Hakainde Hichelema ni muendelezo wa uthibitisho wa kazi kubwa iliyofanywa na inayoendelea kufanywa na Rais Samia Suluhu katika kuhakikisha sera ya mambo ya nje ya...
Hakuna hata project moja watakayoimaliza achilia mbali hata walizozikuta ambazo zilikwisha anza.
Ukiondoa blah blah hakuna kitu ambacho kitafanyika, mpaka sasa hivi kila kitu ni failure...
Hivi huu wizi wa kila siku wa kupunguza data kila siku umebarikiwa na Serikali ya CCM? Make kila siku ni kupunguza MB na Serikali Iko kimya. TCRA wapo kimya. Nape Yuko kimya anajibizana tu ovyo...
Nimekuwa nikifutalia ziara za Waziri wa Nishati Ndugu,January Makamba alizozianzisha hivi karibuni zimekuwa zikijikita katika kujijenga kisiasa kuliko kuitumikia Wizara ya nishati, Ziara hizo...
Bado naweka argument yangu kuwa vyanzo vyote vya mapato ambavyo serikali ni mlipaji mkuu havina tija ingawa kwenye takwimu kuna sekta zitajisifu...
1.Tozo kwenye Miamala, uwekaji na utoaji fedha...
Serikali ya Tanzania na Zambia zimekubaliana kuiimarisha Reli ya TAZARA kea kujenga Reli mpya ya Kiwango cha SGR
Hayo yamesemwa na Rais Samia baada ya kukutana na Rais wa Zambia Ikulu jijini Dar...
Na mkinijibu hili naomba mniambie pia je, na wale waliokuwa Mawaziri akina Kabudi na Lukuvi tulioambiwa watakuwa Jirani nae hivi sasa wanafanya nini?
Kazi ipo.
Sisi tulioishi enzi za Chama kushika hatamu hatuwezi kuwalaumu Chadema wala ACT wazalendo kwa kukaa kwao kimya wakati both vinapanda Bei kila inapoitwa leo
Niishie hapo
Mungu wa mbinguni...