RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,615
- 3,909
Poleni watumishi wa umma kwa vifijo na ndelemo za kusifu na kuabudu mlizompa samia kwa kusema anaupiga mwingi hii naikumbuka mei mosi mwaka huu ambapo kila kukicha mlikuwa mkisema anaupiga mwingi sasa umemwagika mwezi jully mwishoni kila mmoja naona amenuna
waliowengi mlijuwa mtapata mikopo na kufanya biashara kupitia asikimia 23 sasa ni kazi iwndelee mshahara kiduchu uneongezwa njooni tupambane kwenye bei za bidhaa mbalimbali ambazo zinaendelea kupanda kila mwezi na kauli mbiu ya serikali ni vita ya urusi ndiyo imeleta matatizo makubwa pamoja na ugonjwa wa uviko 19 hayo yote yanasemwa na serikali lakini angalieni wapi serikali imepunguza matumizi jibu ni hamna je wananchi wamesaidiwaje kuhusu mfumuko wa bei uliopo jibu hamna badala ya kuwasaidia wananchi wameongezewa kodi ya miamala na tozo mabalimbali hii inamaana kuwa sisi tutajijuwa wenyewe serikali na watumishi wake hasa wenye vipato vya juu hakuna anayeumia atakayeendelea kuumia ni mimi na wewe ambao tunaishi maisha ya mungu nisaidie pakuche salaama.
serkali ingekuwa na malengo mazuri ingepunguza matumizi katika maeneo mbalimbali ili kudhihirisha kuwa kwa sasa hali ni mbaya lakini hali ni mbaya kwa wananchi serikali yenyewe inaendelea na mambo yake. hivi serikali inawekwa na watu gani kwanini wananchi tunadharauliwa kiasi hiki.
mungu wa mbinguni tunaomba tunusuru na serkali inayotaka amani tu huku wananchi wake wakilala njaa
Sisi wananchi amani tunajuwa ipo lakini amani ya moyo maisha yamekuwa magumu mno.